Akyamungu?
kweli umechafukwaaaa
Akyamungu?
Kufuatia ruzuku ya mgao wa vyeo vya ma-DC , vilivyotolewa hivi majuzi na Baba mwenye kaya .
Aliyekua RPC mkoani Dodoma na baadae Mwanza na kisha kustaafu akiwa Kamishna makao makuu D'salaam Bw. Zelothe Stephen , ameruzukiwa u-DC Musoma .
Kimtazamo wangu sioni kama inanipa Afya ya akili , Aliyekua Boss wa Mkoa , kwenda kua Boss wa Wilaya ! Siamini kama imekaa njema!
Aidha sielewielewi uteuzi wake umetumia vigezo gani .
Kwa hili , itaniepukaje niamini pasipo mawaa , kwamba Kamanda huyu alikitumikia Chama kilichompa u-DC vizuri na leo kimemruzuku ajira? .
Tanzania tamu sana !
mbona igp wanawapigia saluti wabunge?
ni sawa tu kwa maafisa wa polisi kukumbukwa maana tumezoea JW kati uteuzi ninaoupongeza ni huu tu wengine naona hauna maana sana pia ikumbukwe Zelothe Stephen alipelekwa mtwara kipindi cha vurugu za gesi hadi mkoa ukatulia hivyo ni miongoni mwa maafisa wa polisi makini sana katima crisis pia katika historia yake ni mtu anayepinga rushwa na uzembe kazini refer uzi wa yule askari wa mtwara nadhani mwaka juzi akilalamika hapa jukwaani kuwa zelothe anatreat sana na kazi hakuna laize faire
napata shida sana na hii nchi, yaani kama umekosa uongozi kipin di cha le professeri basi sahau uongozi
Udc ni cheo cha ajabu,haiangalii una elimu kiasi gani,kuna bw akiitwa Gerald Guninita,hata sijui walimteua kwa sifa gani,elimu hakuna kabisa
Sifa kuu ya kupata uongozi kwa jk ni kujua kusoma na kuandika tu by mkosamali.
Huyu sasa amekuwa mtawala kumbuka polisi si mtawala bali ni mfanyakazi wa umma kama wafanyakazi wengine na wanapokea Amri kutoka kwa watawala. Mleta mada nina shaka na kiwango chako cha elimu hadi unamuhita RPC ni boss wa mkoa, wakati hii ni civics ya darasa la nne kabisa.
Ndo maana hivi vyeo vya kupeana kipu.mbavu pumba.vu hivi vinatakiwa kufutwa kabisa!! Mtu ulishafikia level ya RPC unakubalije kwenda kuwa DC? Na hili liteuliwa na lenyewe kama lijinga vile, eti linachekelea "Kwanza namshukuru Mungu, lakini namshukuru sana Rais kwa kuniteua" Pumba.vu!! Hata hivyo watakaa na hizi nafasi kwa miezi 8 tu halafu Laigwaanan anayabwaga, sidhani kama jamaa atakubali kufanya kazi na watu walioteuliwa na Rais dhaifu kama huyu!! Ndo maana jamaa anamkakati wa kututafutia Rais ili hawa watu wake waendelee kuula. Huu mtego wa-TZ tunatakiwa kuutegua, kama maccm hayataleta mtu anayetakiwa na wananchi tuyabwage chini, nguvu zote zielekezwe UKAWA, na tuwe tayari kuyapiga maccm maana ninavyojua hayatakubali kukiachia kiti cha urais kirahisi vile, yaliyotokea Kenya yanatusubiri (aliyeshindwa atatangazwa haraka haraka ili achukue madaraka).
Namwomba MUNGU atuepushe na hili huyu ndo awe rais dhaifu, hopeless, bogus wa mwisho kutokea katika nchi yetu!!
Tetesi mkuu - mkuu wa usalama wa t anataka kuwa mbunge kwao tanga.