Kutoka Cheo cha kuwa RPC hadi kuwa DC

Kutoka Cheo cha kuwa RPC hadi kuwa DC

Hivi wananchi huwa hatuna haki ya kupiga kura na kumchagua tunayemtaka awe DC au RC? Naomba kuuliza. Manake naona hii mambo ya kuteuana haijakaa vizuri sana, nahisi ush'kaji utakuwa mwingi sana.
 
Charles Mlingwa aliwahi kuwa Naibu waziri- Sasa ni mkuu wa wilaya.

somebody Mwananzila aliwahi kuwa Naibu Waziri- Sasa ni mkuu wa Mkoa.

Joel Bendera aliwahi kuwa Naibu Waziri-Sasa ni mkuu wa mkoa.

Huenda kuna wengine wengi tu ambao walikuwa na vyeo vya kitaifa au kimkoa na sasa wapo kimkoa au kiwilaya.

mhandisi chombo aliwahi kuwa katibu mkuu wizara ya uchukuzi na sasa ni Ras manyara
 
Kufuatia ruzuku ya mgao wa vyeo vya ma-DC , vilivyotolewa hivi majuzi na Baba mwenye kaya .

Aliyekua RPC mkoani Dodoma na baadae Mwanza na kisha kustaafu akiwa Kamishna makao makuu D'salaam Bw. Zelothe Stephen , ameruzukiwa u-DC Musoma .

Kimtazamo wangu sioni kama inanipa Afya ya akili , Aliyekua Boss wa Mkoa , kwenda kua Boss wa Wilaya ! Siamini kama imekaa njema!
Aidha sielewielewi uteuzi wake umetumia vigezo gani .

Kwa hili , itaniepukaje niamini pasipo mawaa , kwamba Kamanda huyu alikitumikia Chama kilichompa u-DC vizuri na leo kimemruzuku ajira? .
Tanzania tamu sana !

ni sawa tu kwa maafisa wa polisi kukumbukwa maana tumezoea JW kati uteuzi ninaoupongeza ni huu tu wengine naona hauna maana sana pia ikumbukwe Zelothe Stephen alipelekwa mtwara kipindi cha vurugu za gesi hadi mkoa ukatulia hivyo ni miongoni mwa maafisa wa polisi makini sana katima crisis pia katika historia yake ni mtu anayepinga rushwa na uzembe kazini refer uzi wa yule askari wa mtwara nadhani mwaka juzi akilalamika hapa jukwaani kuwa zelothe anatreat sana na kazi hakuna laize faire
 
Charles Mlingwa alishakuwa Director General-Tanzania Wildlife Research Institute-TAWIRI
 
Sijui kwanini hakumchagua wema sepetu?

Lawama ziwe juu yenu daima mliochagua serikali hii
 
Ni muhimu rais akapunguziwa madaraka!Kila mtu anachagua yeye? Hilo ndo tatizo
 
Sijui kwanini hakumchagua wema sepetu?

Lawama ziwe juu yenu daima mliochagua serikali hii

Kwa hiyo KIKOSIKAZI unataka kutuambia tusishangae , siku tukisikia Diamond Platnum , Ommy Dimpo au Lulu wameteuliwa ma-DC au ma-RC ?
 
Last edited by a moderator:
Wana peana fadhila za mwisho mwisho, hajawahi kutokea kiongozi magawila kama huyu. Kila lenye mwanzo linamwisho.
 
Kufuatia ruzuku ya mgao wa vyeo vya ma-DC , vilivyotolewa hivi majuzi na Baba mwenye kaya .

Aliyekua RPC mkoani Dodoma na baadae Mwanza na kisha kustaafu akiwa Kamishna makao makuu D'salaam Bw. Zelothe Stephen , ameruzukiwa u-DC Musoma .

Kimtazamo wangu sioni kama inanipa Afya ya akili , Aliyekua Boss wa Mkoa , kwenda kua Boss wa Wilaya ! Siamini kama imekaa njema!
Aidha sielewielewi uteuzi wake umetumia vigezo gani .

Kwa hili , itaniepukaje niamini pasipo mawaa , kwamba Kamanda huyu alikitumikia Chama kilichompa u-DC vizuri na leo kimemruzuku ajira? .
Tanzania tamu sana !

Alishtuwa kidogo na uarapisii Mtwara, kabla ya kustaafu!
 
Charles Mlingwa aliwahi kuwa Naibu waziri- Sasa ni mkuu wa wilaya.

somebody Mwananzila aliwahi kuwa Naibu Waziri- Sasa ni mkuu wa Mkoa.

Joel Bendera aliwahi kuwa Naibu Waziri-Sasa ni mkuu wa mkoa.

Huenda kuna wengine wengi tu ambao walikuwa na vyeo vya kitaifa au kimkoa na sasa wapo kimkoa au kiwilaya.

V. Putin aliwahi kuwa Rais baadae akawa PM kisha sasa ni Rais tena!
 
Hivi wananchi huwa hatuna haki ya kupiga kura na kumchagua tunayemtaka awe DC au RC? Naomba kuuliza. Manake naona hii mambo ya kuteuana haijakaa vizuri sana, nahisi ush'kaji utakuwa mwingi sana.

Piga kura ya HAPANA kwa katiba pendekezwa hapo 30/4/15, mengine yatafuata.
 
Back
Top Bottom