MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,655
Sii woga,
1. It is a political strategy! Wewe unadhani Slaa mwoga kuongea Bungeni? Mbona huyu jamaa mahiri sana hutoa hoja to challenge serikali?
2. Yaliyomtokea Zitto yaliwapa somo- CHADEMA wakaona wajipange vizuri! Slaa anaona akiongea na wananchi directly hoja yake itasikika- nao wananchi waatapata ukweli! Siasa you always assess strategies and move foward!