Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 131
hahahhaha unanichekesha unaposemaKWELI BADO TUPO KIZANI. YANI WATU WANATARAJI KITU KUTOKA KWA JK
HAPO HAKUNA KITU NI POROJO TU, NA NDO MAANA KAKIMBILIA KWA WAZEE.....WATAPELEKWA KWA USAFIRI WA FEDHA ZA WALIPA KODI, WATAPEWA KAPOSHO....BAADAYE WATATOA KAHOTUBA KALIKO EDITIWA NA WANA-CCM WENZIE
Kwa mtu yeyote aliyekulia ndani ya ccm na kufanya kazi ccm basi ujue ni porojo tu na majungu
nenda ofisi ya ccm sasa hivi ukaone wanachofanya....wanafikiria uchaguzi, posho kwisha
TANZANIA WILL NEVER EVR DEVELOP UNDER CCM
Sio kweli kabisa, Zitto sio mchafu kiasi cha kutojaliwa katika hoja zake. Zitto alipishana na wengi katika suala la kimtizamo juu ya ununuzi wa mitambo ya umeme. Na bahati mbaya ni kuwa watu wengi hawawapendi wale wanaosimamia katika kile wanachokiamini na hasa kama hakipendwi nao.NgomaNzito,
ZITTO awaache WASAFI WAONGEE!that is how politicians do!
unajua viongozi wetu 'uroho' umewatawala.wanashindwa hata kuimitate what the 'developed-countries' politicians' are doing.
ZITTO has lost his TASTE!he is TASTELESS.
awaache WASAFI WAONGEE!
tutegemee porojo na kupotezeana muda kufuatilia hotuba na kuacha kazi zetu!!!