Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

mex
akikisheni kila anaepita amehakikiwa vilivyo hasa silaha jamani..itatia aibu mtu kaja anamtafuta didy ni yupi mnasikia mnarejea tena KARIMJEE..SIJUI TUTAKUWA KARIMJEE MPAKA LINI!!USALAMA HOPE UKO JUU
 
Pamoja sana wakuu tunategemea update toka huko,aminini tu kwamba tuko pamoja japokua hatujaudhulia
all the best our hood!
 
mex
akikisheni kila anaepita amehakikiwa vilivyo hasa silaha jamani..itatia aibu mtu kaja anamtafuta didy ni yupi mnasikia mnarejea tena KARIMJEE..SIJUI TUTAKUWA KARIMJEE MPAKA LINI!!USALAMA HOPE UKO JUU
Usijali kwa vile waandaji swala la usalama walilitilia maanani, kila kitu siku hizi lazima usalama uwe compulsory!!! Bila shaka waliconsult wakuu wa usalama kufanya maandalizi!!!!!!!!

 
Mimi niko jirani kabisa na hapo BC, naruhusiwa kuhudhuria? Je kuna kiingilio au?
 
kazi nzuri but so sad kikao kama hiki kinafanyika mheshimiwa akiwa hapumui.

Basi iwe fundisho kuwa matukio kama haya ya public yanatakiwa tuyafanye pia hata wabunge na so called waheshimiwa wetu wakiwa bado wako mjengoni. na wanapumua na kuvuta oxyegn vizuri

Endeleeni kutupa update
 
Wanachama mbalimbali wanaendelea kuongea namna walivyoifahamu JF na kumfahamu Regia tuna watu wa aina mbalmbali walioweza kuhudhuria
 
oh FF, sisi tuko mbali na hapo ina maana na wewe hujahudhuria pamoja ma hili suala kuandaliwa kwa muda ilihali uko Kidongo Chekundu hapo Gerezani!?
Nawatakia mkutano mwema ingawa sina upeo wa kujua faida yake. Hao ma british lazima jamaa wa CCM ndio aliwapambia huo ukumbi. Au hizo ndio bendera za chama cha Cameron?
 
Wakuu mnafaidi sana huko msichoke kutujuza yanayojili huko wengine majukumu ya mgomo wa madaktari unatuweka busy tumeshindwa kuhudhuria wakuu.
 
Back
Top Bottom