Kutofautisha iPads

Kutofautisha iPads

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
239
Reaction score
47
wadau tafadhali naomba mnisaidie, kuna bwana mmoja kaniletea ipad anadai ni hii mpya(iliyorelease-wa Oct 2011) naombeni mnisaidie kwamba nitatofautishaje kati ya iPad 1, iPad 2 na hiyo iPad 3; msaada jamani naweza kuibiwa hapa
 
ni kweli kaka ilitoka March, thanx kwa msaada kweli umeniikoa ndo nilikuwa naibiwa hiv
 
ni kweli kaka ilitoka March, thanx kwa msaada kweli umeniikoa ndo nilikuwa naibiwa hiv

Labda hata bei aliyotaka kukuuzia sio ya Ipad 3. Ipad 1 haina 3G inatumia WiFi peke yake. 2&3 zina both 3G and WiFi so kazi ni kwako.
 
Back
Top Bottom