Kutoa tuzo au tunzo, daktari alinitibu au alinitibia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoa tuzo au tunzo, daktari alinitibu au alinitibia

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by L'AMOUR, Mar 29, 2011.

 1. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wan JF naomba wataalam wa lugha wanisaidie kama ni kutoa tuzo au tunzo kwa mtu anapopongezwa kwa kufanya vizuri. Pia je daktari alinatibu au anatibia ugonjwa. Ninaogopa hata kuendelea na sentensi nyingi maana nahisi kiswahili kinazidi kuwa kigumu siku hadi siku
   
 2. m

  mohermes Senior Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  naunga mkono hoja.Wenye uelewa tafadhali
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni kutoa tuzo, kutibu
   
 4. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thank Pmwasyoke kwa kunisaidia lugha hii ngumu sasa itabidi kupambana na hawa wanaoiharibu
   
 5. Mwenzetu

  Mwenzetu JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 500
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  L'AMOUR ............avatar yako......NIKUPE HONGERA
   
 6. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante Mwenzetu nashukuru kwa kuiona. Panapofaa kupongezwa inabidi kupongeza tu sio mtu unavutiwa na kitu kisha unakaa kimya. Nashukuru sana mwanaJf Mwenzetu
   
Loading...