Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,859
- 10,972
Kwa hiyo unaweza kuzitoa PayPal to Skrill mpaka Airtel money ?Skrill ndo njia rahisi, ukiwa na account skrill unaweza kuhamisha kwenye laini yako ya Airtel ukala mpunga.
Kwa hiyo unaweza kuzitoa PayPal to Skrill mpaka Airtel money ?Skrill ndo njia rahisi, ukiwa na account skrill unaweza kuhamisha kwenye laini yako ya Airtel ukala mpunga.
Mtu anaweza kukutumia Paypal ukatoa kwenda Bank.Kwa hiyo unaweza kuzitoa PayPal to Skrill mpaka Airtel money ?
Duu elimu kweli inakuaga nzuri niliombwa swift code na mtu yuko majuu ili niweze tumiwa pesa nikawa sielew cha ajabu nikamshirkisha teller mmoja wa bank ya CRDB nae akajbu hio kitu haipo, kweli kama sio riziki sio riziki tuZote should be possible. Inabidi tu kuweka correct details za SWIFT Code ya Bank na Account Number yako.
SWIFT CODES:
1. CRDB - CORUTZTZXXX
2. NMB - NMIBTZTZXXX