Kuto do kuna madhara yoyote kiafya?

hakuna madhara,mungu,engineer wa mwili wako anasema usizini(usi-do nje au bila ndoa)nawashangaa wanaosema kwa nini usi-do hata mara mojamoja?ni ukosefu wa maadili,kuchochea zinaa na kuporomosha maadili,pata picha huyo akiwa mzazi.
 
Kuto do hata kwa miaka 100(kama utaishi) haina madhara KABISA. Kwanza utajiondoa kwenye madhara... Utaepuka kuumizwa moyo wako kimapenzi na wapenzi feki waliojaa, utaepuka magonjwa ya zinaa na ukimwi.
Ila pia sahau KUPATA MTOTO kama huta do.
Ila ku do nzuri na salama, ni ile uwe umesubiri mpaka uwe umeoa/olewa (ambayo wengi tunashwinda)
 
Back
Top Bottom