''kutingisha.''


daah umenikumbusha mbalii kufunga khanga kwa mschana zamani ilikuwa mwake nowdays ukifunga khanga unaonekana wa bush. Mie sometime huwa namtega hubby na khanga then namcheki anavokodoa macho utaskia baada ya dakika kadhaa, ................... mama Rainer njoo hapo yeye keshatangulia room huuuuhuuuuuuuuuu
 
Bado wapo ambao ukikutana nao utapenda kusimama ili uangalie kazi ya muumba wetu na wala hawaongezi ufundi wowote bali kama umejaliwa na Muumba basi hata mwendo wako unakuwa wa aina yake na njemba zikikuona zinabaki kutokwa na udenda tu.



 
Last edited by a moderator:
Mnatuwezaga kweli apo sakapal.. na kanga yenyewe iwe transparent ivi...
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi wana mapambo mazee.


Wanapaka make ups wanaweka nywele zao vizuri na attention zime shift kidogo.


Zamani ilikuwa focus kwenye Khanga tu!
 
Siku hizi wana mapambo mazee.


Wanapaka make ups wanaweka nywele zao vizuri na attention zime shift kidogo.


Zamani ilikuwa focus kwenye Khanga tu!

Kabisa na Khanga zilikuaga shurti zibebe ujumbe...mfano. "Usione vimeundwa" au "Karibu ule"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…