Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?
Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
nyonga ni nini? hata mbuzi anayo
Sijui hii staili ya wakina dada ya kutembea imepotelea wapi sikuhizi......wale vijana wenzangu wa zamani watakumbuka msichana alikua akijulikana na kusifiwa zaidi kwa kiwango chake cha kutingisha (wowowo)...... umahiri na mbwembwe wa kuzungusha kiuno wakati wa kutembea ndio ulimpa sifa na vijana ndio walivutiwa na wasichana wa aina hiyo haijalishi sura......
Ndio maana saa nyingine kwa baadhi yetu unaweza ukajiuliza hivi mshua alimpendea nini maza? kumbe basi zamani haikuwaga tu sura......kuna vitu vingi sana vilichangia mwanamke kumvutia mwanaume.....
nyonga ni nini? hata mbuzi anayo
Siku hizi wanawake wanatembea kama mabaunsa.....wanavaa viatu virefuuuu.....alafu wanaweka mabega na kifua juu.....ukikutana nae kwenye korido kama hamna mtu mwingine unaweza ukakimbia ukifikiri anakuja kukupa mkong'oto.
Aisee, haya bana. Nikizungumza hapa nitaambiwa sina adabu. Ngoja nifunge bakuli langu.
mwanamke sura cku hzi, wo wo wo hata kwa mchina unapata! Upo hapo! Hi ndo karne ya .com, face bookers! Ki2 easy to cary n handle!
mhhh mhh! kazi wanayo wenye vijungu vyao..........
sarikoki .. Nakudidicate huu wimbo best..
Singidaaaaa Dodoma Singidaaa Dodomaa...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
GPS= geographical positioning systemDu.! huyu noma aisee.....akiwa wako labda umfunge GPS.