Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?
Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
Asanteee.....
Nimecheka sana kama mwehu..lolz
Umesahau kama mchina kaleta yale mororo...
Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?
Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
Siku hizi tunatembea wazima wazima... Mwendo wa Kimiss, sasa hilo wowowo saa ngapi kulitingisha?
Na wengine masaburi yamekakamaa hayatikisiki.... Sasa ujipe shida ya nini kutikisa kitu kisicho tikisika..! Lol
Kabisa ila wenyewe ndio wanajilet down.......Wanawake maua ya ulimwengu
Siku hizi wanawake wanatembea kama mabaunsa.....wanavaa viatu virefuuuu.....alafu wanaweka mabega na kifua juu.....ukikutana nae kwenye korido kama hamna mtu mwingine unaweza ukakimbia ukifikiri anakuja kukupa mkong'oto.
Hafai huyo mana ana kiponde huoni kitumbo, totoz zingine unaona barabara ipo flat kabisa yani we ukikanyaga hakuna kuchuna brake mpaa umefika:biggrin:Mchina kaharibu soko la kujitingisha, sasa hivi unayapachika tu kama haya inakuwa umemaliza kila kitu.
View attachment 85098
Hahahaaa... Wewe inaelekea muoga wa mkong'oto sana..! Wenzio huo mwendo ndio wanauzimikia..!
Tena siku hizi binti akitembea anajitikisa tikisa masaburi yake watu wanamuona "huyu wa wapi huyu.."!!
mlivotuchosha tutatikisa nini?
au unataka tutikise mifupa jamani?
kote kumeisha kumebaki mbele tu pa kuuzia sura 1
Mchina kaharibu soko la kujitingisha, sasa hivi unayapachika tu kama haya inakuwa umemaliza kila kitu.
View attachment 85098
nyonga ni nini? hata mbuzi anayoHata nyonga basi Smile...