clemence
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 594
- 212
Nasisitiza piga hizo namba hapo juu kwa mahitaji ya kutengenezewa mageti, grill za milango na madirisha,vitanda vya chuma kwa matumizi ya nyumbani, hostel,guest house, pia viti vya chuma kwa matumizi ya nyumbani na hotel. vibanda vya biashara vinavyohamishika pamoja na bidhaa nyingine nyingi zihusuzo metal welding.