Sebabic metal works

Oct 27, 2019
14
126
Habari ya leo waungwana,

SEBABIC METAL WORKS ni wajasiriamali tunaojihusisha na kazi za vyuma (Metal works) na uchomeleaji (Welding). kwa ujumla tunajihusisha na shughuli zifuatazo:-
>Steel and metal fabrication (uchomeleaji wa vyuma)
>Welding of grills (kuchoma mageti,madirisha na milango ya vyuma)
>Sliding gates fabrication (mageti ya kusukuma)
>Rolling gates (mageti ya kukunja/kuzungusha)
>Various metal and steel structures (maumbo na miundo mbalimbali ya vyuma)
> Various Metal Furnitures (Fenicha za chuma za aina mbalimbali kama Vitanda, Viti na Meza)
>Vehicles (Cars) spraying and painting works (tunapulizia rangi magari na kupaka rangi)
Pia tunajihusisha na kukodisha
>Interior house decoration designs
>Air compressor (kompresa za upepo)
> Jeckhammer compressor (jeckhammer kompresa kwaajili ya kutindua na kuchoronga miamba (hardground excavation and drilling)

Tunapatikana Geita mjini

Kwa mawasiliano zaidi :+255 718 101 593
:+255 764 676 110
Email/Barua pepe :mbalizi369@gmail.com
 
Habari ya leo waungwana,

SEBABIC METAL WORKS ni wajasiriamali tunaojihusisha na kazi za vyuma (Metal works) na uchomeleaji (Welding) kwa ujumla tunajihusisha na shughuli zifuatazo:-
>Steel and metal fabrication (uchomeleaji wa vyuma)
>Welding of grills (kuchoma mageti,madirisha na milango ya vyuma)
>Sliding gates fabrication
>Rolling gates
Mkuu, hii kazi inalipa sana mjini ikiwa tu utakuwa mbunifu.
Binafsi nina kashop kadogo ambapo kila ninapo pata wasaha, najikuta natengeneza kitu kimoja tofauti ambavyo watu wakiona wanashawishika na kunipa kazi.
Nakushauri uambatanishe basi taha vipicha vichache vya kazi ambazo umewahi kuzifanya, na vizuri ukiweka location wapi mlipo na mkoa mnao patikana pasipo kusahau namba zenu za simu.
 
Uzi ulijipost kabla ya kumalizika mkuu..tunapaikana Geita mjini....najaribu ku-upload picha inazingua kidogo...
Si punde mambo yatakaa sawa...
Naomba usome vizuri huu uzi tayari nimeukamilisha
 
20191013_140228[1].jpg

Ushimen icheki hiyo Rolling gate mkuu...ngoja ni-upload zingine...hapo ilikuwa kwenye hatua za awali za matengenezo
 
View attachment 1251717
Ushimen icheki hiyo Rolling gate mkuu...ngoja ni-upload zingine...hapo ilikuwa kwenye hatua za awali za matengenezo
Umejitahidi kidogo sana mkuu, na sio kwamba nasema hivyo kwa kukuvunja moyo.... Hapana, lengo hasa kubwa ni kuona skumoja unafika mbali zaidi ya hapa leo unavyo fanya UNIFORM METAL WORKS .
Ebu fanya vitu ambavyo kidogo vinakupa muonekano tofauti na wengine.
Yaani namaanisha kwamba, jaribu kubuni vitu vyenye muonekano wa tofauti na wengine, hata kama ni vitu vilevile.
 
Asante kaka...ushauri wako naufanyia kazi
 
Back
Top Bottom