Kutengeneza dawa ya kuku ya kutibu magonjwa yote kwa mitishamba

Napata mashaka kuamini hizo dawa ulishauriwa ulipoenda veterinari. Labda kama si veterinari nayoijua mie. Piperazine inatibu minyoo na hizo nyingine mbili zinaua vidusia (parasites) wa nje. Tatizo la kuku wako si mojawapo kati ya hayo.
Ndio maana nimeomba msaada kwa waliowahi ku experience tatizo kama langu mlifanyaje kujikwamua? Nipe msaada maana niliyemkuta alihusisha tatizo langu na vijidudu vinavyoshambulia Kuku ndio maana akanipa na hayo ma powder n.k, hebu nisaidie ndugu yangu plz
 
Nitafute in box tiba yake ipo
 
hata mimi nafuga kuku waliwahi kuugua huo ugonjwa cha muhimu ni watenganishe na kuku wazima,kisha wakwangue hayo madude ukishafanya hivo chukua maji ya vuguvugu uliyochanganya na chumvi paka mle ulimowakwangua ukimaliza hapo wapake dawa inaitwa ocucycline fanya hivo kwa mda wa week mbili utaniambiaa
 
Yaani acha tu Mkuu, mimi hapa nina mabanda manne ya Kuku nilianza na banda 1 tu wakati huo niliwanunua huko vijijin wakiwa wadogo, yaani hawa ni Kuku original wa kienyeji sio machotara sasa hofu yangu ni kuwapoteza wote na hakika Kuku huwa wananilipa sana na kusaidia familia ambayo kwa sasa kuna wakati mgumu tunapitia,nitajitahidi nipambane kuwaokoa ila hadi nakosa usingizi kwa kweli
usikate tamaa mkuu,nataka nijaribu samaki mkuu kidogo huko risk ni kidogo.
 
hata mimi nafuga kuku waliwahi kuugua huo ugonjwa cha muhimu ni watenganishe na kuku wazima,kisha wakwangue hayo madude ukishafanya hivo chukua maji ya vuguvugu uliyochanganya na chumvi paka mle ulimowakwangua ukimaliza hapo wapake dawa inaitwa ocucycline fanya hivo kwa mda wa week mbili utaniambiaa
Asante sana, nitafanya hivyo
 
usikate tamaa mkuu,nataka nijaribu samaki mkuu kidogo huko risk ni kidogo.
Niliwahi kuhudhuria hilo darasa la ufugaji wa samaki,sema mpaka Leo naona kuna ugumu kwangu kuyafanyia kazi mafunzo Yale hasa ninapofikiria kujenga Fish pond hapa nyumbani wakati nna watoto wadogo,naongopa kusababisha kilio Mkuu, wishing you Good luck katika mradi wako mpya
 
ahsante mkuu,ngoja tupambane nitakuja na matokea yake hapa hii hali ni ya kupambana mpaka tone la mwisho.all the best kwenye kuku.
 
My na
Yapata wiki sasa nahangaika na tatizo la Kuku kuvimba macho na kuwa vipofu kabisaa mpaka sasa ni Kuku 22 ndio wamepatwa na tatizo hilo, nimewahamisha banda kabisa ili wasichangamane na Kuku wengine wakaleta maafa zaidi nimeshajaribu kutumia antibiotics mbali mbali kama Piperazine citrate, sevin , Akheri powder kuwatibu lakini wapi yaani tatizo liko palepale kinachoniumiza zaidi hawa Kuku walishaanza kutaga na wengine ndio wanaelekea kuanza kutaga.
Kama kuna wataalamu humu naomba msaada wa cha kufanya maana mambo yanakua magumu sasa,hii ndio biashara pekee ambayo hakika haikuwahi kuniangusha sasa kama nitaanguka kwenye hii Nayo miti yote itakua inateleza kwangu hivyo chini nitaanguka
0784740034
 
Niliwahi kuhudhuria hilo darasa la ufugaji wa samaki,sema mpaka Leo naona kuna ugumu kwangu kuyafanyia kazi mafunzo Yale hasa ninapofikiria kujenga Fish pond hapa nyumbani wakati nna watoto wadogo,naongopa kusababisha kilio Mkuu, wishing you Good luck katika mradi wako mpya
Kuna mabwawa ya kisasa yakuhamishika na mtoto sio rahisi kutumbukia,na linahamishika sehemu yeyote ile.ukiitaji kuyaona ni pm namba yako.na vifaranga nitakupatia pia vya sato
 
Yapata wiki sasa nahangaika na tatizo la Kuku kuvimba macho na kuwa vipofu kabisaa mpaka sasa ni Kuku 22 ndio wamepatwa na tatizo hilo, nimewahamisha banda kabisa ili wasichangamane na Kuku wengine wakaleta maafa zaidi nimeshajaribu kutumia antibiotics mbali mbali kama Piperazine citrate, sevin , Akheri powder kuwatibu lakini wapi yaani tatizo liko palepale kinachoniumiza zaidi hawa Kuku walishaanza kutaga na wengine ndio wanaelekea kuanza kutaga.
Kama kuna wataalamu humu naomba msaada wa cha kufanya maana mambo yanakua magumu sasa,hii ndio biashara pekee ambayo hakika haikuwahi kuniangusha sasa kama nitaanguka kwenye hii Nayo miti yote itakua inateleza kwangu hivyo chini nitaanguka
Mm sio mzoefu sana, ila Hilo tatizo kwa kumbukumbu yangu ni kama upungufu wa vitamin A......na hasa huwapata Kuku wakiwa bado wadogo kati ya wiki nne na kuendelea. Unawapa majani!? Uliwapatia mult-vitamin
 
Back
Top Bottom