Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,860
😂😂😂 ulivomkazia sasa!We nawe mpana!! 😹
Halafu na yeye anajibu kwa upole kama yupo kituoni hivi..
😂😂😂 ulivomkazia sasa!We nawe mpana!! 😹
usijali kwani mimi natengeneza kwa ajili ya kula tu hivyo nisukusumbue sana.Mkuu kama maelezo niliyokupa pale juu yamefeli, itabidi tuongee kwa kutumia simu, wiki hii niko bize siwezi kuandika maelezo marefu, kwa sababu kuna vitu naandika kwenye simu, humu jf huwa nakuja nachungulia na kujibu comment za wadau kisha nazama tena.
Ila unaweza kuchagua kimoja kati ya hivi.
👇
1. Nipe kama siku mbili hivi nisajili namba maalum kwa ajili ya kuongea na wewe.
2. Subiri kama wiki hivi nitafungua uzi kabisa nitaweka heading JIFUNZE KUCHOMA POPCORN KWA KUTUMIA MASHINE ili wadau wengine pia wajifunze.
Poa ila nikifungua huu uzi nitakutagi maana humo nitaeleza vingi kutokana na uzoefu wangu, aina za mahindi, yaani yanayopasuka sana na yasiyo pasuka sana, jinsi ya kuchoma popcorn za chumvi na za sukari na mengine mengi ninayoyafahamu kwenye biashara ya popcorn.usijali kwani mimi natengeneza kwa ajili ya kula tu hivyo nisukusumbue sana.
sawaPoa ila nikifungua huu uzi nitakutagi maana humo nitaeleza vingi kutokana na uzoefu wangu, aina za mahindi, yaani yanayopasuka sana na yasiyo pasuka sana, jinsi ya kuchoma popcorn za chumvi na za sukari na mengine mengi ninayoyafahamu kwenye biashara ya popcorn.
asante kwa elimu,mtihani ni kuyajua mahindi mazuriHbr ndugu
Subili nikupe sababu ndogo ndogo zinazo changia mahindi kuto pop na kipelekea kuungua
1.kuzidisha kipimo cha mahindi katika kite (bakuli ya kukangia)
2.Aina ya mahindi baadhi ya mahindi sio mazur huwa yana ungua mfano mahindi yana yolimwa Tanzania /India
4.ukavu WA mahindi kutokua na unyevu yamekaa Sana sokoni
5.kutumia mafuta ya kupika kidogo sana
6.joto Kali la linalo zalishwa kwenye kite( bakuli la kukangia)
7.kutokua na uzoefu WA kukanga popcorn pia inachangia kuunguza
Hizi ndio sababu chache zinazopelekea kuungua
Sululisho
1.Hatua ya Kwanza kuchangua mahindi mazur yanayo pop vzr mfano mahindi ya Argentina, south Africa, Mexico
2.hatua ya pili chukua maji km tobo Lita 250ml changanya mafuta ya Kula vijiko vya chai viwili au vitatu Tia mwenye kite chemsha pamoja mpk yapungue Sana ila yasikauke ili kutengeneza unyevu yatakato Baki uta mimina zoezi la kuongeza unyevu kitakua limeisha
3.hatua inayo fuata utaweka mafuta ya Kula vijiko vinne kwenye kit pamoja na mahindi ujazo WA gram 100 funga kite kishi washa mashine yako akikisha switch ya Mwiko inafanya kz kuzingusha mahindi ndani ya dakika 7 yanakua tayari
4.endapo bado shida ya Kua joto la juu lipo fungua kite (bakuli la kukangia ) Kuna thermostat mfano wa pasi ya kunyoshea nguo hivyo uta punguza ama kuongeza joto km unavyo fanya kwenye pasi ili kupata joto sahihi.asante
Mkuu mimi pia umeniongezea shule hapa kuhusu uchomaji wa popcornHbr ndugu

yamefika 6000 me niliacha yalipokuwa 5000kwanini uliacha biashara? ulikuwa unatumia machine ya umeme au ya gas?
Ni mkoa gani mkuu?yamefika 6000 me niliacha yalipokuwa 5000
Mkuu umewahi kutumia mashine ya gas kuchomea popcorn? Kama ni ndiyo vipi gharama zake ni za juu zaidi ukilinganisha na kutumia umeme au ina uwiano?Hbr ndugu