Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Pole dada huyo hakufai shida yke n mbunye 2 anapiga promo akichoka anakutosa.
Ni mara chache sna kurudiana n ikawork vizuri ila jibu unalo wewe mama inawezekana bdo unamfil thou alipita n best
 
Da Valentina my dear friend, hii ni true kbs? If yes fuata maneno yangu ukipenda.

Moja, mtu ambae umempenda mno mno(u know the magnitude) sio rhs kumfuta 100% kwa huo mda umeutaja.Na huenda unachanganyikiwa kwa sababu ya 'hangovers' za huyo mr! Cha kufanya jipe mda, dont worry time takes care and never make decisions awkwardly just for the sake of kureplace huyo mr-utajuta

Pili, mimi siamini sana katika chuki. Ukimchukia what then? Unajiongezea stress tu; hii dunia wako watu 7B sasa wewe ujipe shida kwa mtu 1?. You either take it easy and go ahead or forgive him muanze upya. Hakuna mkamilifu, najua kusalit penz inauma lkn pia angalia investment ya moyo wako hadi stage ya kuamua kuwa mmeo-parefu mmmh! Kuja kufanya kwa mwingine likely ni expensive n time consuming na huenda ukapata worse person kwa angle nyingine.

At the end wewe ndio wa kuamua, take time and regurgitate succinctly my dear
 
Ušije ukathubutu kurudiana naye kama unataka usife kwa presha.

Mara ya kwanza kakucheat na rafiki yako.

Mara ya pili atakucheat na ndugu yako.

mara ya tatu atakucheat na dada yako.

Mara ya nne atakucheat na mwanao. Na listi itaendelea.

Jasiri huwa haachi asili. Niamini nakuapia.

Sawa babu,nimekuelewa mjukuu wako.
 
Duuh...em jiulize moyoni,unampenda??kama ndio mrudie,bt msumbue kwanza,mapenzi hayana guarantee hata huko unakokwenda sio kwamna ndo u wl meet faithful men only,wanaume ni walewale,
KAMA UNAMPENDA RUDIANA,HUMPENDI MOVE ON
cha msingi,USIPOTEZE MALENGO YA KIMAISHA,
yani kuwa na source nyingi za furaha na mafanikio in ur life hata kama una mtu au huna,mfano,kuwa active,kwenye jamii,church,kazini,shule,michezo,kwaya nk,ipende family yako zaidi,marafiki,...inshort have a life,mwanaume awe part tu,ASIWE UR EVERYTHING,HATAKUCHANGANYA MTU,,above all mtegemee Mungu
I am team single,i moved on baada ya kutendwa and am so happy with my life kiukweli,i know ntapata another man,kama Money Stunna hivi,heheheh...so follow ur heart using ur mind
 
Last edited by a moderator:
Pia nakushauri usome vitabu vya dada mmoja anaitwa Nancy Van Pelt
"To have and to hold"
"Heart to heart"
Vitakusaidia sana sana, achana na experience za wengine ambazo nyingine ni very situational, yani mtu anakushauri kwa jinsi yeye alivyoexperience personally
 
Me kwanza nikupe pole maana nimejenga picha hiyo siku uliomfumania tena na rafiki yako, sijui nguvu zilikuishia vipi. Kwa ushauri, kurudiana nae wa mwanzo itakua si sahihi, utaonyesha udhaifu kidogo, kama hakuna umuhimu basi kua single ni bora zaidi kama kuna umuhimu basi chagua alie bora na muombe Mungu akusaidie

Acha tu mkuu,siku hiyo Mungu anisaidie niisahau mana ni moja kati ya siku ngumu sana kwangu
 
Valentina, nadhani tatizo ni wewe mwenyewe. Lazima kwanza ubadilike na ukubali kua chenye mwanzo kina mwisho wake. Hiyo hivyo basi sio kila uhusiano utakao uanzisha utakuwepo mpaka kifo. Hata ndoa huwa zinavunjika! You must be realistic with life! mambo yakufikirika ya ache.

Sisi tumeoa wakezetu hawakuwa bikira! Jiulize walipitiwa na wanaume wangapi, waliachwa na wanaume wangapi mpaka kunifikia mimi?

unatakiwa uwe na malengo, kwamba nataka mahusiano kwamaana yamtu wakukupa raha. Kama ikitokea ndoa basi ni sawa. Ndoa itakuwa nimatokeo ya mahusiano yenu mazuri, na sio vinginevyo!

Wewe tafuta mwanaume kula raha kwanza mama.

Nimekuelewa baba,nashkuru kwa ushauri wako
 
Duuh...em jiulize moyoni,unampenda??kama ndio mrudie,bt msumbue kwanza,mapenzi hayana guarantee hata huko unakokwenda sio kwamna ndo u wl meet faithful men only,wanaume ni walewale,
KAMA UNAMPENDA RUDIANA,HUMPENDI MOVE ON
cha msingi,USIPOTEZE MALENGO YA KIMAISHA,
yani kuwa na source nyingi za furaha na mafanikio in ur life hata kama una mtu au huna,mfano,kuwa active,kwenye jamii,church,kazini,shule,michezo,kwaya nk,ipende family yako zaidi,marafiki,...inshort have a life,mwanaume awe part tu,ASIWE UR EVERYTHING,HATAKUCHANGANYA MTU,,above all mtegemee Mungu
I am team single,i moved on baada ya kutendwa and am so happy with my life kiukweli,i know ntapata another man,kama Money Stunna hivi,heheheh...so follow ur heart using ur mind

Mimi naunga mkono wazo lako, humu ukute kuna watu wanawakumbuka walee waliowatosa na watu wapo kwa ndoa zao ila hawasemi tu. Kama unamfeel we endelea nae tu wanaume WOTE by nature ni poligamists askwambie mtu. Ni dini na kujicontrol tu ndio kunamake difference but under default settings..the same pipo
 
Last edited by a moderator:
This sounds like some1 i know! Back to the topic, najua ni ngumu kutorudiana na huyo mwanaume ukichukulia ndiye aliyezichana chana nyavu zako(wanawake wengi huwa anafanya kufuatana na hisia bila kujali madhara.). Huwezi jua huko alikotoka kapatwa na nini na ana mawazo gani juu yako. Wengi huwa tunarudi kwa wale tulowaacha ili kupooza machungu tuloyapata huko tulikotoka. Muepuke huyo mwanaume lakini furaha yako ni ya muhimu zaidi!

Sawa ndugu,hilo la furaha ndilo tamanio langu
 
Wapendwa ni matumaini yangu mu wazima na mko vizuri katika majukumu yenu:

Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake ya kimapenzi na wengi tumetendwa na wale ambao tuliwekeza mioyo yetu kwao kwa kuwaamini kwamba wataiendeleza furaha yetu, ila kwasababu mbalimbali au kwa bahati mbaya wengi hatukuweza kufikia matarajio yetu juu ya hao wenzetu....

Binafsi nilikua katika mahusiano na mtu ambae nilimpenda mno narudia tena nilimpenda tena mno. Na ndie mwanaume wangu wa kwanza ku........
Nae kwa upande wake alionyesha uaminifu na moyo wakujali,maneno yote mazuri yenye matumaini mtoto wa kike niliambiwa,Kifupi tulipanga uhusiano wetu uzae ndoa.

Ilifika hatua mwezi wa sita mwaka jana akaja Arusha kwalengo la kujitambulisha nyumbani kwetu. Lakini gafla katika hali ambayo sikuitarajia akabadilisha maamuzi yake akanipa visingizio. Baada ya muda mfupi kabla ya yeye kurejea kwenye makazi yake,nikamfumania akiwa na rafiki yangu wa karibu,rafiki niliye mchukulia kama ndugu yangu na kushare nae baadhi ya mambo.

Waliosalitiwa bila shaka wanaelewa uzito wa maumivu hayo. Ikabidi niwe mpole,na kuwaambia waendelee mbele,siku zilivosonga yule binti akaanza mambo ya dharau kwangu ila namshkuru Mungu nilipata moyo wa kumsamehe na kupuuza dharau zake. Ilipofika mwezi wa 9 yule binti aliacha kazi kwa shari na kurudi kwao.
Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu leo,nikwamba yule mwanaume anataka kurudi kwangu na mimi moyo wangu unakua mzito kumrudia,nimetokea kumchukia.

Jambo linalonisumbua zaidi kila ninapoanza mahusiano mapya hua nashindwa kuendlea mbele,hofu ya kwamba huyu atanifanyia kama yule inanijia mara kwa mara na matokeo yake nakua sababu ya kuvunjika uhusiano huo.
Wapendwa nifanye nini kukabiliana na hali hii ya pili? Ninatamani sana hali hii iniondoke. Karibu kwa mchango wako kimawazo.
Kwenye makosa ya kiuandishi mnisamehe mana natumia cm.

Once bitten...twice shy..!!

Bado hujampata atakae kufanya ujitose tena...kuwa mvumilivu atakuja!!
 
Mi pia nimewahi kuwa muhanga wa maswahibu haya, Lakin namshukuru Mungu wa Israel ambaye alinirudisha kwenye mstari na kunishika nisianguke tena.
 
Mimi naunga mkono wazo lako, humu ukute kuna watu wanawakumbuka walee waliowatosa na watu wapo kwa ndoa zao ila hawasemi tu. Kama unamfeel we endelea nae tu wanaume WOTE by nature ni poligamists askwambie mtu. Ni dini na kujicontrol tu ndio kunamake difference but under default settings..the same pipo

Mkuu umeona ehh....nishawah kusoma sehemu sehemu,wanasema to win the dating game lazima ujifunze kukubali 'rejection' and jifunze kuona other opportunities,
Mtoa Mada,always remember to love and take care of urself no matter what....and enjoy ur life ,ishi unavyotaka,..na nnarudia kama unampenda mrudie tu,mpe second chance,( mpe a hard tym kukupata and ajutie kosa)..
And since hujafikia ndoaFAHAMIANA NA OTHER MEN,ili uwe na options siku akizingua una weza hamia kwngne
 
Last edited by a moderator:
Ukishindwa kabisa chukua peni na karatasi fanya hivii:
1. Orodha ya happy times mlizokuwa nazo pamoja
2. Orodha ya bad times pia
(Pelt, 2007)
Zilinganishe kwa kutumia percentage, itakayozid nyingine it will be the starting point to focus your conclusion

Soma hivyo vitabu vitakusaidia sanaa ungekuwa mwanza ningekuazimisha
 
pole kwa yaliyokusibu.
swali: je kuna nafsi inakuambia urudiane naye au hata moyoni mwako hayumo?

kuna dada mmoja alitendwa vibaya sana na bf wake. akawa karibu sana nami. akaniambia mabaya mengi ya huyo jamaa(ambaye nilisoma naye) na akawa ananiapia kuwa hatarudiana nae tena.

baada ya muda mfupu nikamsikia anasema mara "jamaa ameokoka nimekutana naye kwenye semina", mara kilikwenda kikarudi....hatimaye wakarudiana.

hata mwezi haukuisha jamaa akamtenda tena yule dada. hadi leo dada wa watu kachanganyikiwa mno. kila me kwake ni sumu.

anyway, fanya yafuatayo:
1. usimpe nafasi ya kuumiza moyo wako tena
2. msamehe ili ufungue ukrasa mpya na wengine(najua ni ngumu lakini usipofanya hivyo hutapata amani ya moyo na kwa hiyo utishi na mume bila imani naye.
3. njoo kwangu, sijawahi kupenda, naanzia kwako, sitakusaliti.....teh teh teh!

Hahahaaa! Nashkuru umeniongezea siku kwa kicheko hapo mwisho. Kuhusu swali lako la kwanza ukweli ni kwamba kadri siku ziendavyo ndovo nazidi kumchukia. Sitamani kurudi kwake na ninamwomba Mungu anisikie na kunitia nguvu kamwe nisishawishike kumrudia
 
Aisee dada pole sana kwa yaliyokukuta hizo ni changamoto za maisha ila tambua kuwa kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho.Fika mahali uwe na the power of letting things go japo ni ngumu zaidi sikiliza moyo wako nini unakuambia
 
Mkuu umeona ehh....nishawah kusoma sehemu sehemu,wanasema to win the dating game lazima ujifunze kukubali 'rejection' and jifunze kuona other opportunities,
Mtoa Mada,always remember to love and take care of urself no matter what....and enjoy ur life ,ishi unavyotaka,..na nnarudia kama unampenda mrudie tu,mpe second chance,( mpe a hard tym kukupata and ajutie kosa)..
And since hujafikia ndoaFAHAMIANA NA OTHER MEN,ili uwe na options siku akizingua una weza hamia kwngne

Hiyo paragraph ya mwisho ni kali ajee? Yani awe na reserve list? Aaagh nao waje kuomba advice siku akiamua kwa mmoja aiseee!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa! Nashkuru umeniongezea siku kwa kicheko hapo mwisho. Kuhusu swali lako la kwanza ukweli ni kwamba kadri siku ziendavyo ndovo nazidi kumchukia. Sitamani kurudi kwake na ninamwomba Mungu anisikie na kunitia nguvu kamwe nisishawishike kumrudia

Ameni! Omba Roho Mtakatifu akuongoze kuishi katika maisha ya utakatifu. Usichafue hekalu la Mungu!
 
Back
Top Bottom