Kutembea na mume wa mtu

Hah hha yan.nimecheka hii comment angekuwa mke kwel asingetoka ila kwel
 
Hahaha wajinga sana wanarubuniwa na vijisent na vijisimu wanatoa nyabe na mwisho wa cku unaachwa unarud hap jf k ulia
Wewe labda hao watoto wa secondary ila tu mdada anaejielewa harubuniwi kwa cm wanafanya vtu vya maana tena ambavyo hata mkewe afanyiwi kabisa na ukijua utazimia
 
Wanawake wengi ujinga mwingiii hawaju kuhudumiwa waume zao kama unahudumia vzur nje atatoka? Kwanza ukitambulishwa unaongezeka nini kama cc tupo tunafanya maisha tena ya maendeleo ukute hata ww unaishi nyumba ya kupanga wenzio tunajenga tena kwa jina langu sasa apo nililie kutambulishwa ili iweje.mume anataka matunzo bwana
 
Wewe labda hao watoto wa secondary ila tu mdada anaejielewa harubuniwi kwa cm wanafanya vtu vya maana tena ambavyo hata mkewe afanyiwi kabisa na ukijua utazimia
Wanawake kwani mnaakiri? Akiri zenu mnazijua wenyewe tu
 
Mwizi wake ni mimi ilikuwaje mpaka aje kwangu akiwa anajua ameoa jiulize kuna kitu amemiss kwako .Eti napotezewa muda wapi nachukua changu mapema halafu napita hivi mjini hakuna chako peke yako siku hizi jamani .Mpooooo?
 
hata wafalme na daadh ya mitume walishindwa...

ila dada, kwani kutambulishwa ndio kuolewa?
 
Ukisoma komenti za huu uzi, utagundua asilimia 99 kwa jinsi walivyo komenti ni WACHEPUKAJI!
 
Njoo kwangu mumewe si kashaenda huko nasi tujenge yetu mwaka bado mmbichii..
 
"Hakuna mke wa mtu na Hakuna mume wa mtu"

Kazi kukazana ila kazi kutenganishana.
 
Asanteeeeeeeeeeeee......namuachaaaaaa
 
Ongea na huyo mume anayetoka nje ya ndoa yake. Wanawake wengi wanaotoka na waume za watu hawajali hayo maadili. Ujumbe umefika lakini.
 
Hahaa haichekeshi lakini nimejikuta nacheka. Pole sana mkuu...ila sio mjinga anajua anachokifuata kwa mumeo
 
aaahhh kuna mtu kaibiwa? asanteeehhhh thomaaaaaasssss mdogo! mdogo! ... mwenyewe naimba nyimbo ya mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…