miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
akiweza hili ameshamshinda shetani sababu akitaka ligi nyumba itageuka uwanja wa mapambano na amani itatowekaInategemea na moyo wake mumy kuna wengine hawawezi lakini kumpuuza mtu ni bonge la dawa unamuacha anahangaika kukutilia mashaka kumbe huna lolote umeamua kumpuuzia.
Kula na wenzake atiii.inaauma nini?
Yesu wangu yaani hilo jibu nmejikuta nacheka pekee yangu,Miss Natafuta ww nomamume wako umemuumba wewe? ungekuwa mke kweli asingetoka nje
Na mwisho wa siku ataiacha nyumba huku mume anamtaka na pia anatakiwa ajue hata akiachika huo mchepuko hauolewi huo upo kwa ajili ya starehe tu.akiweza hili ameshamshinda shetani sababu akitaka ligi nyumba itageuka uwanja wa mapambano na amani itatoweka
kabisa atukie tuliNa mwisho wa siku ataiacha nyumba huku mume anamtaka na pia anatakiwa ajue hata akiachika huo mchepuko hauolewi huo upo kwa ajili ya starehe tu.
Hivyo ni vyema akatulizana.
Haswaa asikimbilie maamuzi yasiyoeleweka hakuna mwenye ndoa iliyokamilika kwa 100% hivyo mapungufu yapo tu.Pole mwaya, fanya furaha yako isitegemee mtu ukiwa ndani ya ndoa kuna mambo meng muulize mmeo sababu ya kuchepuka ili Km ni ww ujirekebishe muish kwa furaha na amani
Kutambulishwa kitu gani ww, hata utambulishwe jiji zima mapenzi ni ya wawili na ukiona unaachwa jitazame sana ulikosea wapi ili usiachwe kwingine. Mwenzio kaguswa kashikilia kapendeka, mwingine katambulishwa kaona kamaliza kazi. Dunia ya ushindani hii.Wewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako.
Kama maji ya mtungi na sio kubabaishwa na vijitu visivyokuwa na mbele wala nyuma.kabisa atukie tuli
kabisa tatizo la wake wengi wanajiwekaga level za michepuko ndiyo shida .. ila siyo ndiyo ujisahahuKama maji ya mtungi na sio kubabaishwa na vijitu visivyokuwa na mbele wala nyuma.
We baki hapo hapo na mawazo yako ya mtaani. Una uhakika gani na unayoyasema?Kutambulishwa kitu gani ww, hata utambulishwe jiji zima mapenzi ni ya wawili na ukiona unaachwa jitazame sana ulikosea wapi ili usiachwe kwingine. Mwenzio kaguswa kashikilia kapendeka, mwingine katambulishwa kaona kamaliza kazi. Dunia ya ushindani hii.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji32]We baki hapo hapo na mawazo yako ya mtaani. Una uhakika gani na unayoyasema?
hahahahahaaaa....tuliumbiwa wanawake....."tulimbuwa" Khaa!![emoji12] [emoji12] [emoji12] <br />Sio kwa mchapio huu.
Na ndio shida iliyopo kwa baadhi ya wanawake walio kwenye ndoa. Mana ukijifananisha na mchepuko siku zote utakosa kujiamini.kabisa tatizo la wake wengi wanajiwekaga level za michepuko ndiyo shida .. ila siyo ndiyo ujisahahu
Ndio maisha aliochagua ya kutotambulishwa zaid ya kujulikana guest, atambulishwe ili agundue nini mfano we mkanye mumeo kimada hausu hapohivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga
kabisaNa ndio shida iliyopo kwa baadhi ya wanawake walio kwenye ndoa. Mana ukijifananisha na mchepuko siku zote utakosa kujiamini.