Kutembea na mke / mume wa mtu sio ujanja

Wadada wa mjini,wadangaji na maslay Queens hawawezi kukuelewa hata kidogo.

Wale wazee wa vitonga ndio kabisa hawataki hata kuuona uzi huu.

Ila kaa ukijua hamna mtu mbaya kama anaye iharibu ndoa ya mwenzie,hasa ile ndoa iliyo toa matunda ya watoto.

Kwani ndoa ikivunjika wanaopata tabu hasa ni watoto ambao ktk makuzi yao watakosa upendo wa mzazi mmoja na baadaye kuna uwezekano wa kutooana umuhimu wa ndoa,mwisho wa siku mnatengeneza kizazi kijichojali familia au kisichojali watoto.
Wana ndoa wenyewe huaribu ndoa zao. Usiwe mwaminifu halafu umlaumu mtu mwingine? Sijawahi elewa
 
Heshima na Raha ya ndoa kwanza mume akupende na kukuheshimu. Sio awe na mahawara hukooo eti utambe mi ndo nimeolewa nimewekwa ndani mxiuuu umekuwa pazia?
Wengi wanajali heshima kwenye jamii wakati humo ndani hakuna heshima yoyote. Unafiki wa hivyo unipite mbali.
 
KUTEMBEA NA MUME WA MTU/MKE WA MTU SIO UJANJA NI UJINGA...

Ujinga ni pale unatembea na mume wa mtu lakini unakazana kutuma picha za uchi kwa mke wake kwa madai kuwa unamkomoa mke wake;

(1) Mwenzako kaolewa, ana ndoa na likitokea la kutokea anarudi kwa mkewe, yaani unamringisgia kumpata mume wake wakati yeye alishampata kitambo na ndani kawekwa!

(2) Hakuna kipya ambacho unamtumia na yeye hana, kwamba kamaa ni hivyo vifaa vyako unavyotaka avione basi nayeye anavyo, nikujidhalilsiha tu unamtumia uchi wako mwanamke mwenzako akuone ili nini, kwamba atagundua kuwa wakwako una madini labda atajisikia vibaya kuwa wakwako upo mabegani?

(3) Unatuma mnafanya mapenzi na mume wake, sasa kuna kipya kipi, mwenzako kafanya, kashamtumia huyo mwanaume na inawezekana na kuzalishwa kazalishwa, kwamba labda kuna staili mpya umegundua kwamba mkifanya mapenzi huyo mwanaume anakojoa noti ndiyo unataka kumuonyesha ili kumrusha roho!

(4) Mwenzako ndiyo kashafika, katulia, ananyanyaswa lakini haondoki, wewe bado kijana, ukifikisha tu miaka 28 utaanza mara kutafuta mtoto, mara utataka kijana wako, mara utakutana na mtu unaingia kwenye ndoa. Mipicha yote ushampa unategemea yeye akianza kulipa kisasi na kumtumia mume wako au mpenzi wako kuna ndoa hapo. Wanawake wanasamehe ila unafikiri mchumba wako akiona huo uchafu hata ukimuambia nilifanya kabla ya kukutana na wewe atakuelewa, atakuona Malaya tu unajiuza na kukuacha!

(5) Hembu jithamini kidogo, unajua mnajidhalilisha, na hii mitandao aisee, hivi siku ukakutana na mwanamke kichwa maji, unamtumia mapicha yako ya uchi ana mfowardia Baba yako utasema nini? Au kwakua umeficha sura, anascreenshopt na namba yako anamtumia dingi yako anamuambia “Mkanye mwanao” ndiyo utafanya nini?

NB; Nina hasira, nimeandika usiku na kuna mtu yamemkuta, hembu mjifunze basi na kudanga, achene kudanga kipuuzi namna hii ujumbe umewafiki mkitaka kulike mtalike msipotaka kucomment kisa nimesema ukweli poa kazi yangu ni kuwaelekeza [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using i phone x
Idd Makengo anapambana kuelimisha Lkn kwa upande fulani Kuna walakini
 
Wana ndoa wenyewe huaribu ndoa zao. Usiwe mwaminifu halafu umlaumu mtu mwingine? Sijawahi elewa
Sawa mwanandoa anaweza asiwe mwaminifu lkn we mwenyewe umepewa akili na utashi wa kupima kwamba hichi ninachokifanya sawa au sio sawa,kama unaona sawa endelea lkn bado utabaki na hatia ya kuharibu familia ya mwenzio.

Ila si shangai nyie dada zangu baadhi yenu mna amini waume za watu wanajua sana kutunza na mkiulizwa mnajibu "sijamwita kaja mwenyewe" na wengine mnaenda kabisa kulala kwa waganga muwakamate vizuri.
 
Huyo mwanandoa hana akili na utashi? Kwanini alaumiwe aliyetongozwa?
 
Sijakulaumu ni swala lako ww na moyo wako na utashi wako unavyo kuongoza kufanya maamuzi yako.

Kutongozwa sio issue ,issue ukingundua ni mume wa mtu utakubali kuachana naye?
 
Wote Wana matatizo
 
KUTEMBEA NA MUME WA MTU/MKE WA MTU SIO UJANJA NI UJINGA...

Ujinga ni pale unatembea na mume wa mtu lakini unakazana kutuma picha za uchi kwa mke wake kwa madai kuwa unamkomoa mke wake;

(1) Mwenzako kaolewa, ana ndoa na likitokea la kutokea anarudi kwa mkewe, yaani unamringisgia kumpata mume wake wakati yeye alishampata kitambo na ndani kawekwa!

(2) Hakuna kipya ambacho unamtumia na yeye hana, kwamba kamaa ni hivyo vifaa vyako unavyotaka avione basi nayeye anavyo, nikujidhalilsiha tu unamtumia uchi wako mwanamke mwenzako akuone ili nini, kwamba atagundua kuwa wakwako una madini labda atajisikia vibaya kuwa wakwako upo mabegani?

(3) Unatuma mnafanya mapenzi na mume wake, sasa kuna kipya kipi, mwenzako kafanya, kashamtumia huyo mwanaume na inawezekana na kuzalishwa kazalishwa, kwamba labda kuna staili mpya umegundua kwamba mkifanya mapenzi huyo mwanaume anakojoa noti ndiyo unataka kumuonyesha ili kumrusha roho!

(4) Mwenzako ndiyo kashafika, katulia, ananyanyaswa lakini haondoki, wewe bado kijana, ukifikisha tu miaka 28 utaanza mara kutafuta mtoto, mara utataka kijana wako, mara utakutana na mtu unaingia kwenye ndoa. Mipicha yote ushampa unategemea yeye akianza kulipa kisasi na kumtumia mume wako au mpenzi wako kuna ndoa hapo. Wanawake wanasamehe ila unafikiri mchumba wako akiona huo uchafu hata ukimuambia nilifanya kabla ya kukutana na wewe atakuelewa, atakuona Malaya tu unajiuza na kukuacha!

(5) Hembu jithamini kidogo, unajua mnajidhalilisha, na hii mitandao aisee, hivi siku ukakutana na mwanamke kichwa maji, unamtumia mapicha yako ya uchi ana mfowardia Baba yako utasema nini? Au kwakua umeficha sura, anascreenshopt na namba yako anamtumia dingi yako anamuambia “Mkanye mwanao” ndiyo utafanya nini?

NB; Nina hasira, nimeandika usiku na kuna mtu yamemkuta, hembu mjifunze basi na kudanga, achene kudanga kipuuzi namna hii ujumbe umewafiki mkitaka kulike mtalike msipotaka kucomment kisa nimesema ukweli poa kazi yangu ni kuwaelekeza [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using i phone x
Msg sent,mpaka ikifika December watakuwa wamenyooka kama ruler wote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom