Kutema mate Bungeni

Kutema mate Bungeni

Kalelewa na mama, fununu ni kwamba JK aka mkulu wa msoga ndie mzazi wake,Singida wanataabika tu na damu ya wakwere!
 
Ndo maana tunawahamasisha Watanzania bunge lijalo wabunge vilaza wa ccm wawe kumi tu.
 
Kuna siku Mwigulu Mchema atakunya kule bungeni na spika atamwangalia tu.

Kama mtu anapanga matendo ya mauaji haulizwi ndio aje aulizwe mambo madogo kama hayo? Huyo ni kumpeleka Kisesa na kumuacha kwa siku moja na kesho yake mnapeleka Ambulance tuu.
Mie nimesikitishwa sana na yale mawasiliano ya e-mails na Nchimbi kuwa ni ya kweli na jamaa yuko tuu anapuyanga bila aibu!
 
Mwigulu anauwezo mkubwa wa kukariri basi. Watu kama hawa aghalabu huwa wanafanya vizuri darasani. Reasoning mwigulu mtupu sana.
 
Nasikia kutoka kwa moja ya jilanizake pale bungeni kua c mala yake ya kwanza kutema mate kunasiku alitema hadi makohozi .
 
Bunge ni muhimili mmojawapo wa serkali na huitwa bunge tukufu
Vikao vya bunge huanza kwa dua na sala
Bunge huendeshwa kwa KANUNI
Kitendo cha Mwigulu Nchemba kutema mate wakati akitoa hoja yake kuashiria dharau juu ya anachokisema tena kukirudia mara mbili ni kulinajisi bunge..spika..ile fimbo ya bunge na taifa kwa ujumla
Viongozi wetu huchukua hatua haraka kwa vitendo vidogovidogo ikiwa vimetokea kwa wabunge wa upinzani
Pia wabunge wengi huomba "mwongozo wa spika" au "taarifa" kwa vitu visivyo na tija lakini hili lilitafsiriwa vipi? Kiongozi hakutoa karipio wala hakuna mbunge aliyeomba mwongozo
Inatufundisha nini wananchi na wanetu tunaoangalia vitendo hivyo?
Kile ni kitendo cha kunajisi bunge!
Bunge linalozuia baadhi ya mavazi..kauli nk lakini linaruhusu kutemewa mate?
Hata kiafya si sawa!!!

Msipowakemea na kuwapa stahiki yao wanajisi hao keshokutwa msishangae matendo ya ajabu zaidi

Mbona bunge ni sasa kumegeuka sehemu chafu tu , wache wateme mate ni bora kuliko hayo matendo na maneno yao.
 
Bunge ni muhimili mmojawapo wa serkali na huitwa bunge tukufu
Vikao vya bunge huanza kwa dua na sala
Bunge huendeshwa kwa KANUNI
Kitendo cha Mwigulu Nchemba kutema mate wakati akitoa hoja yake kuashiria dharau juu ya anachokisema tena kukirudia mara mbili ni kulinajisi bunge..spika..ile fimbo ya bunge na taifa kwa ujumla
Viongozi wetu huchukua hatua haraka kwa vitendo vidogovidogo ikiwa vimetokea kwa wabunge wa upinzani
Pia wabunge wengi huomba "mwongozo wa spika" au "taarifa" kwa vitu visivyo na tija lakini hili lilitafsiriwa vipi? Kiongozi hakutoa karipio wala hakuna mbunge aliyeomba mwongozo
Inatufundisha nini wananchi na wanetu tunaoangalia vitendo hivyo?
Kile ni kitendo cha kunajisi bunge!
Bunge linalozuia baadhi ya mavazi..kauli nk lakini linaruhusu kutemewa mate?
Hata kiafya si sawa!!!

Msipowakemea na kuwapa stahiki yao wanajisi hao keshokutwa msishangae matendo ya ajabu zaidi

Mbona bungeni sasa kumegeuka sehemu chafu tu , wache wateme mate ni bora kuliko hayo matendo na maneno yao.
 
Sasa mwanaume anatema mate amekuwa koboko?

Mkuu huyu bwana ukimfikiria unaweza kukufuru. Mi nimeshangaa hao wabunge wenzie mbona hawakumletea embe changa...unaweza kuta mambo flan tayari...".."
 
Watanzania walio wengi hawana maadili kwa vile somo la elimu ya maadili (Moral Ethics) halifundishwi katika vyuo vya Tanzania. Matokeo yake ndiyo sasa tunayaona: rushwa, ushirikina, mauaji, ubakaji, wizi uliokithiri wa mali ya umma, ukosefu wa uzalendo, utapeli na mengine mengi. Nchi zote zilizoendelea hili somo ni compulsory katika vyuo. Ni wakati sasa na sisi watanzania tulifikirie jambo hili.
 
Back
Top Bottom