Kuna siku Mwigulu Mchema atakunya kule bungeni na spika atamwangalia tu.

Hivi akili inayo filter kweli?
Akili iwe na filter umesikia kuwa inatumia mafuta au upepo? We yako inayo?
Bunge ni muhimili mmojawapo wa serkali na huitwa bunge tukufu
Vikao vya bunge huanza kwa dua na sala
Bunge huendeshwa kwa KANUNI
Kitendo cha Mwigulu Nchemba kutema mate wakati akitoa hoja yake kuashiria dharau juu ya anachokisema tena kukirudia mara mbili ni kulinajisi bunge..spika..ile fimbo ya bunge na taifa kwa ujumla
Viongozi wetu huchukua hatua haraka kwa vitendo vidogovidogo ikiwa vimetokea kwa wabunge wa upinzani
Pia wabunge wengi huomba "mwongozo wa spika" au "taarifa" kwa vitu visivyo na tija lakini hili lilitafsiriwa vipi? Kiongozi hakutoa karipio wala hakuna mbunge aliyeomba mwongozo
Inatufundisha nini wananchi na wanetu tunaoangalia vitendo hivyo?
Kile ni kitendo cha kunajisi bunge!
Bunge linalozuia baadhi ya mavazi..kauli nk lakini linaruhusu kutemewa mate?
Hata kiafya si sawa!!!
Msipowakemea na kuwapa stahiki yao wanajisi hao keshokutwa msishangae matendo ya ajabu zaidi

uki-utilize akili vizuri huwezi kuandika povu.
Sasa mwanaume anatema mate amekuwa koboko?