Kutatokea Machafuko makubwa Tz mwaka huu: Sheikh Yahya

Kutatokea Machafuko makubwa Tz mwaka huu: Sheikh Yahya

UKIMSIKILIZA MCHAWI NA WEWE UTAKUWA MCHAWI TUUU HUYO NI MTABIRI WA jk HATUHUSU SISI
 
Shetani nae "ana macho na anaona mwenyewe" Wanamsikiliza Yahya ni hao hao wanaua albino humu nchini, wauwaji wakubwa ccm nyie. Hivi Yahya ni shekh kweli au uongo? Wenzetu mtupe hints?
 
Mungu alikwisha sema kuwa mawazo anayotuwazia sisi ni mawazo ya amani. Kama kuna dalili za machafuko, atawaambia watumishi wake kuomba na kukemea hiyo hali, sio kutisha. Mungu wetu si Mungu wa Shari. Sheik Yahaya aende kuzimu na Majini yake...

Ametabiri Leo kwamba kutakuwa na machafuko makubwa tz, siri za serikali zitavuja, uchumi utasambaratika, utawala utasambaratika!

Source: clouds FM saa 12 jioni leo
 
Hivi huyu ni Sheikh kweli? mie nahitaji mnisaidie akina Mdondoaji.
 
kinachonikera mimi ni hii TBC TV ya taifa kuacha kutangaza mambo muhimu na kutangaza kuhusu shehe Yahaya na utabiri wake. Ina maana nchi hii inaongozwa ma maruhani?
 
Mwacheni atabiri jamani. Hiyo ndiyo kazi inayomweka mjini. Hahahahahahah after all utabiri wake hauna impact yoyote kwa watu wenye akili timamu.
 
Hebu huyo sheikh aache uongo wake, ameshaona radi anajidai kutabiri kuhusu ngurumo, hebu ajipumzikie sasa tuko tired nae ile mbaya!!!!!!
 
Imeshajulikana Huya anayejiita Shekhe ni mwongo wa kutupa. Anataka kufanya watu waishi kwa Hofu. Mbona alitabiri atakaye pambana na kikwete atakufa, mbona hakuna aliyekufa hadi sasa. Ilishasemwa tena na Shibuda, kwamba nchi hii haiongozwi na Maruhani. Habari hizi akawaambie hao wanaoongoza kwa utabiri wake. Hawezi kutisha watu. Na akome kabisa.

Akamwambie yule anayempatia ulinzi wa Maruhani anaweza kukubaliana nae, sisi hajatupata bado. Machafuko yatatokea tu pale SISIEMU wataendelea kucheza na akili zetu
 
Sheikh Yahya amekwishaaanza!!!!!!

Hata ukimwona mgonjwa wako aliyekuwa amekata kauli eti ghafula anakuongelesha kisha anaomba umkalishe na umlishe usidhani kapona, anza maandalizi ya mazishi
 
anatafuta wateja hajasikika kitambo,majini yake yanataka damu imwagike yanywe,,,,,MLINZI MKUU NI DAMU YA YESU,
 
Umeandika kama upo usingizini baada ya moja baridi na moja moto. Mfano wako hauna mashiko. Kama hali ni mbaya unapata kongolo kwanza ndipo unafungua JF.

Tulia kwaza, kwani wewe enzi za Nyerere ulijua kuna News Channel?, Ushangau usemi wa Wadanganyika eti Nyerer aliyo yasema yote yanatokea, ujiulizi alijuaje? huitaji kusoma sana ujue hilo na dhani.
 
Back
Top Bottom