mohsein
Member
- Feb 21, 2011
- 19
- 3
huyu mzee lazima atakuwa mgonjwa!
aliwahi kutabiri kuwa hakutakuwa na uchaguzi wa rais,UKAWA
atakaeshindana na kikwete atakufa,HAKUNA ALIYEKUFA
sijui kwann serikali isimkamate,au kumsimamisha asilete vurugu kwenye nchi yetu.kwann asijitabirie yeye lini anakufa ili watu wajue ujinga wake unafika kikomo lini.