Kutatokea Machafuko makubwa Tz mwaka huu: Sheikh Yahya

Jamani lakini msimbishie sana, inawezekana INTELIJENSIA ya kichwa chake imemuongoza hivyo kama IGP MWEMA anavyoongozwa na INTELIJENSIA zake:spider::spider::spider::spider:
 
Its tha return of tha devil himself! Halaf kwann anatabirigi mabaya tu,yan huwez sikia akasema nchi itakua na amani uchumi utapaa na maisha yatakua bora, yeye ohh flan atakufa,vita,yan hawa ni wa kupeleka shinyanga tu hawa
 
Ametabiri Leo kwamba kutakuwa na machafuko makubwa tz, siri za serikali zitavuja, uchumi utasambaratika, utawala utasambaratika!

Source: clouds FM saa 12 jioni leo

Atabirije mambo ambayo tayari yameanza kuonekana dhahiri. Hako kababu kaongo sana. Kwa nini kasitabiri kifo chake?
 
Huyo bwana maruahni aondoe ujinga hapa; tumeshajua haki zetu, kwa hiyo ..............

attachment.php
 
Mzee anajua kusoma alama za nyakati huyu, kacheki Tunisia, Misri, na sasa Libya, basi akaja na conclusion!
 
Ametabiri Leo kwamba kutakuwa na machafuko makubwa tz, siri za serikali zitavuja, uchumi utasambaratika, utawala utasambaratika!

Source: clouds FM saa 12 jioni leo

Kama kawaida yake ashaanza wanga wake :A S 13:!!!!
 
Ametabiri Leo kwamba kutakuwa na machafuko makubwa tz, siri za serikali zitavuja, uchumi utasambaratika, utawala utasambaratika!

Source: clouds FM saa 12 jioni leo

Naomba nikusahihishe kasema kutakuwa na machafuko dunia kote na hakutaja tanzania!
 
hivi kuna watu bado wanamuamini huyu pepo? amekwisha kabisa, hana utabiri wowote yeye ni fundi wa kusoma alama za nyakati tu.
Amshauri ndg yake JK kwamba hali ni mbaya na alama za nyakati zinaonyesha kimbunga cha mapinduzi ya waarabu kinaweza kufika huku soon
 
Mshirikina mkubwa, na wanao muamini ni washirikina kama yeye. Katika madhambi makubwa ni pamoja na ushirikina. Simpendi mimi huyu anayejiita sheikh, kazi yake kuharibu. Afe yeye kwanza, na hakuna machafuko ng'o!!!

Akili yakuambiwa changanya na yako
 
Mnao amini mashetani amini,Aliambiwa atabili siku ya kifo chake hakusema iweje majini na mashetani ajuwe wengine yasimjuwe yeye,Lakini ndiye mlinzi mkuu wa kipngozi wetu hili asianguke
 
Huyu Babu anadhani watu bado wanaishi enzi zile za Nyerere ambazo ni Nyerere tuu mwenye kuona News kwenye TV na kujua nini kinaendela nje ya nchi na kupima upepo kujua nini kina weza tokea hata hapa TZ kwa jinzi hali halizi inavyo kwenda duniani na kesho yake kutuma speech na Wadanganyika kubai midomo wazi kushangaa kwamba Nyerere aliyasema yote yanatokea?

Kwa hali hii una weza hata wewe ukatabiri kua mabonu yatalipuka tena ,kambi ya Lugalo , huitaji hata jini kujua hilo.
 
Kwa nini anamzunguka JK?

Si amwambie tu kwamba nchi imemshinda kuliko kumwambia kwa mafumbo? Mpaka JK alitegue hilo fumbo, mafisadi wote watakuwa wameshakamatwa na Peoples Power!
 
Huyu Babu anadhani watu bado wanaishi enzi zile za Nyerere ambazo ni Nyerere tuu mwenye kuona News kwenye TV na kujua nini kinaendela nje ya nchi na kupima upepo kujua nini kina weza tokea hata hapa TZ kwa jinzi hali halizi inavyo kwenda duniani na kesho yake kutuma speech na Wadanganyika kubai midomo wazi kushangaa kwamba Nyerere aliyasema yote yanatokea?

Kwa hali hii una weza hata wewe ukatabiri kua mabonu yatalipuka tena ,kambi ya Lugalo , huitaji hata jini kujua hilo.

Umeandika kama upo usingizini baada ya moja baridi na moja moto. Mfano wako hauna mashiko. Kama hali ni mbaya unapata kongolo kwanza ndipo unafungua JF.
 
hana nachotabiri bali anasimulia matukio yanayotokea,kapoteza kujulikana sasa nataka watu wamkumbuke kumbe hana lolote.
hawezi kutofautisha maandamano ya amani na machafuko maana si ni ccm amabo kwao wapinzani ni machafuko.
katabiri ukame ili hali tunajua mabadiliko ya hali ya hewa kutokana na uharibifu wa mazingira.
kajivunia kuwa cuf na ccm kujiunga ulikuwa ni utabiri wake kumbe ulikuwa ni mpango wao na siyo utabiri
angalia sana wewe na Rais wenu huwa ndumba zikishindwa kufanya kazi mnawehuka mpo mbioni kuwa vichaa kwa hayo mamabo yenu ya uropokaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom