Kutatokea Machafuko makubwa Tz mwaka huu: Sheikh Yahya

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Ametabiri Leo kwamba kutakuwa na machafuko makubwa tz, siri za serikali zitavuja, uchumi utasambaratika, utawala utasambaratika!

Source: clouds FM saa 12 jioni leo
 
Ametabiri Leo kwamba kutakuwa na machafuko makubwa tz, siri za serikali zitavuja, uchumi utasambaratika, utawala utasambaratika!

Source: clouds FM saa 12 jioni leo

Hayo machafuko yatatokea miji ipi ili tuhamie kule kwingine?
 
Imeshajulikana Huya anayejiita Shekhe ni mwongo wa kutupa. Anataka kufanya watu waishi kwa Hofu. Mbona alitabiri atakaye pambana na kikwete atakufa, mbona hakuna aliyekufa hadi sasa. Ilishasemwa tena na Shibuda, kwamba nchi hii haiongozwi na Maruhani. Habari hizi akawaambie hao wanaoongoza kwa utabiri wake. Hawezi kutisha watu. Na akome kabisa.
 
Dah, angekuwa amesema na hajatabiri sawa.

Inawezekana machafuko kutokea lakini si kwa sababu yeye ametabiri ila ni kwa sababu viongozi wetu wameshindwa kutekeleza wajibu wao. Hao ndio watakuwa chanzo cha machafuko.
 
hajasema anakufa lini?
Hajasema kwa nini mgombea uraisi hakufa mwaka jana?
Mwambie Yesu anampenda aachane na majini hayo maana siku zimeisha
 
Ajitabirie mwenyewe siku yake ya kufa asitabiri siku ya kufa watanzania. Imani potofu.
 
Hivi wale aliowatabiria mwaka jana kuwa wakigombea urais na Jakaya Kikwete watakufa walishakufa?
 
Amefulia mbaya huyu jamaa na hakika siku zake zinahesabika si ndio mlinzi wa jk ngoja afe na jk wake amfuate kwani atakuwa hana ulinzi mtu gani anakubali kulindwa na mchawi utafikiri enzi za kina farao duhhh
 
wewe usituletee mashetani hapa,
hatuna mda wa kuamini upuuzi
njoo na facts sio upupu
huyu si ndio alisema hakutakuwa na uchaguzi?
watu wengine bwana, kwanza angekuwa nchi zingine angelikwisha uliwa zamani
Ametabiri Leo kwamba kutakuwa na machafuko makubwa tz, siri za serikali zitavuja, uchumi utasambaratika, utawala utasambaratika!

Source: clouds FM saa 12 jioni leo
 
Amefulia mbaya huyu jamaa na hakika siku zake zinahesabika si ndio mlinzi wa jk ngoja afe na jk wake amfuate kwani atakuwa hana ulinzi mtu gani anakubali kulindwa na mchawi utafikiri enzi za kina farao duhhh
hawa jamaa wanaongoza hii nchi kipagani sana...siku zao ni 40 tu watalia na kusaga meno
 
Imeshajulikana Huya anayejiita Shekhe ni mwongo wa kutupa. Anataka kufanya watu waishi kwa Hofu. Mbona alitabiri atakaye pambana na kikwete atakufa, mbona hakuna aliyekufa hadi sasa. Ilishasemwa tena na Shibuda, kwamba nchi hii haiongozwi na Maruhani. Habari hizi akawaambie hao wanaoongoza kwa utabiri wake. Hawezi kutisha watu. Na akome kabisa.
they are all devil pamoja na wafuasi wake..
 
wewe usituletee mashetani hapa,
hatuna mda wa kuamini upuuzi
njoo na facts sio upupu
huyu si ndio alisema hakutakuwa na uchaguzi?
watu wengine bwana, kwanza angekuwa nchi zingine angelikwisha uliwa zamani

Shoot the message, not the messanger
 
Huyu mtu sija wahi kumuamini na tokea aseme uchaguzi unge ahirishwa ndiyo kabisaaa! Kabla haja toa "utabiri" mpya atoe maelezo kwanza kuhusu yale aliyo dai yange tokea na hayaku tokea.

Sheikh Yahya si mtabiri bali ana angalia upepo unapo enda na kutoa utabiri kutokana na kuangalia uwezekano wa jambo fulani kutokea. Kwa nini utabiri huu ana utoa baada ya matokeo ya Arusha, Mbagala, ujio wa mmiliki wa Dowans nk? Huu si utabiri.
 
Nilishawahi kusema hapa kwamba utabiri is nothing than inteligent guess. Inajulikana kabisa kwamba hali yetu ilipofikia ambapo viongozi hawajali wala kuogopa muda wowote nguvu ya umma itakuja.

Kwa hiyo hahitajiki mtu kutuambia the obvious halafu sisi tukasema ametabiri. Afterall, intelligent guessing is the work of intelligent minds, which Yahya does not posses
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom