Zuzu ni ww usiyekubali matokeo unahis hapo alipenda yeye aibiwe! My brotherHii nchi wajinga mtachelewa sana kuisha,hata wanao utawaambukiza huo uzuzu.
Yeah ni kweli hyo huduma ipo nmb pesa faster unatoa pesa kwenye ATM bila card unatoa kwa kutumia code tu!Hiyo huduma ya Jamaa ambayo kimsingi ni kama geresha ina shabihina na huduma ya "NMB CARDLESS" ambapo pesa unaenda kutoa moja kwa moja toka ATM kwa kuingiza namba ya aliyekutumia, hizo code kisha kiasi.
Sasa hatari yake, kama huo muamala uko valid, watu wameshachomoa pesa, maana Jamaa ka expose kila kitu..
Hudum hyo ipo mkuu Nmb pesa faster unatoa pesa bila kuwa na card y bank unatoa kwa kutumia pin Kama hzo kwe SMS aliyotumiwa lakin hyo SMS ni fake!Yaani akutumie pesa kwenye namba ya simu ila pesa ukachukulie bank!!! Kuna huduma ya hivyo kweli?
Pole we!
Ooooh!! Sikujua mkuu, asante.Hudum hyo ipo mkuu Nmb pesa faster unatoa pesa bila kuwa na card y bank unatoa kwa kutumia pin Kama hzo kwe SMS aliyotumiwa lakin hyo SMS ni fake!
Hatari siku hizi wengine wamejaa Instagram na online business zao za electronics kumbe matapeliMkuu tulishadhurumika 2.5 mil ila amini ukipigwa kuna wakaribu kahusika
Daah,hatari.Kapigwa1.1M
mzee baba umeua yaan humohumoAme edit meseji ya benki akaongeza tarakimu!!huu mchezo tumechezeana sana kwenye upatu na washkaji zangu !!!
Tuseme nini kwenu tena wanawake?Hampo serious na neno pesa!..ohh hata iweje siwez kosea
mbona wanawake ndo rahisi kutapeliwaTuseme nini kwenu tena wanawake?
Kiasili mwanamke akili yake imetulia.
Waliohusishwa kupewa taarifa na waume zao juu ya jambo linalotarajiwa kufanywa, likawa na harufu ya utapeli ndani yake, mara nyingi husaidia mno kuwashitua waume zao.
Lakini wanaume wasiopenda kuhusisha wake zao kwenye mambo yao ya pesa, mara nyingi hupigwa kimya kimya na kubakia na 'donda ndugu'.
MUWE MNATOA ZAKAWakuu habari yenu, jana kuna kitu nlimuuzia jamaa fulani hv. Yeye alisema yuko mkoani, so ikabidi tufanye arrangements ili tukutane na ndugu yake alieko Dar uko, ili nimpe mzigo wake.
Baada ya yule ndugu yake kuuona na kuridhika, ikabidi ampigie mteja wangu kwamba mzigo uko vizuri. Nikawa nimeongea nae akasema atanitumia kwenye number ya airtel iko kiasi tulichokua tumekubaliana. Kwa kua mimi sina number ya airtel ikabidi nimwambie rafiki yangu kuwa kuna muamala utatumiwa kwenye simu yake maana yeye ana line ya airtel.
Basi, kama baada ya dakika nane yule rafiki yangu anaetumia line ya Airtel akanambia ameona pesa imeingia kutokea NMB. Mimi nikasema sawa, nikamkabidhi yule ndugu yake mzigo tukaachama pale.
Ile message inaonekana imetokea NMB, kwamba katumia huduma ile ya benki mkononi kunitumia hela. Basi, kwa kua ilikua ni jioni sana hata mabenki yalikua yamefungwa nikasema asubuhi ya leo nitawahi bank nikaihangaikie. Cha ajabu nafika bank wananiambia hakuna muamala wa dzain hiyo kwa benki yao. Sikukata tamaa ikabidi niwacheki pia kwa mitandao yao ya kijamii (instagram) ila majibu yakawa ni yale yale.
Mteja wangu nliefanya naye biashara, wakati niko bank nilikuwa najaribu kumpigia ila hakupatikana, ila dakika 20 kabla ya kuanza kuandika huu uzi nlijaribu kumpigia akasema ngoja amcheki wakala ambae alimtumia kunitumia hiyo hela. Ndo niko namskilizia hapa.
Naombeni ushauri kama kuna mtu anaweza kuwa na idea na hiki kitu au anaeweza kuwa na wazo lingine anisaidie wakubwa.
Natanguliza shukrani.
View attachment 1488552View attachment 1488553
Hapana mkuu. Unaongea na programmer hapa.vipi umeshawahi kupigwa nini?
Ni msukuma...nikufupishie tu🤭Kwani kutumiwa kwenye ac hadi mtu aende bank? Si anatumia sim banking!!
Hilo ninakubaliana mkuu, kwa wenye tamaa za ovyo ovyo hilo lipo, lakini mwanamke halizwi mara mbili na wana nguvu kubwa kwenye kutafakari kwa kina.mbona wanawake ndo rahisi kutapeliwa
Ni kweli. Nenda Police. Siku hizi wako vizuri sana na issue kama hizi.Pole..nenda polisi
Pole brother, achana na watu wasio na ufikirioAsante kwa kutambua ujinga wanguKuhusu kumpa account, Soma vizuri tena boss. Ilikua jioni, so banks pia zilikua zishafungwa. Na pia nisingekubali aje akanitumie labda kesho yake. Ingekua ngumu ndugu yangu