Kutapeliwa

Kutapeliwa

N
Shukrani sana ndugu. Nitaenda polisi kesho nilifatilie vizuri. Asante sana boss
Kila la kheri... Ila amini katika hili, lililo pangwa liwe lako utalipata na kama hukupangiwa basi mshukuru Mungu na amini utapata zaidi ya kile ulichopoteza... Good luck
 
Ame edit meseji ya benki akaongeza tarakimu!!huu mchezo tumechezeana sana kwenye upatu na washkaji zangu !!!

Cha kushangaza jamaa hajashika simu yake yeye yuko mkoani bora wangekuwa pamoja, harafu mwenye namba ya airtel hawakuwa pamoja kwa muda huu.
 
Mshushe busha huyo tapeli ikiwezekana awe analiwa kiboga na kila anayemuona.
Tumechoka na hawa kumariii!!
Maisha magumu pesa ngumu halafu ngese mmoja anamtapeli mtu kiulaini.
Pia nakushauri kama ulikuwa unawasiliana na ndugu yake aliyopo Dar naye mjumulishe kwenye utapeli huu.
 
Broo

Hapa kaka walichokifanya nadhani ni hivi huyo kasema ni ndugu yake hapana sio kweli huyo ni tapeli mwenzake wamecheza mchezo mmoja wa kitoto sana yan kiufupi iko hivi.huyo ndugu yake kasave namba ya jamaa tapeli kama nmb alafu huyo tapeli akatuma hiyo sms ukadhani kama imetoka nmb .pole sana ndugu yangu ilia jaribu kufuatilia hizo namba usajili wake uone utafika sehemu gani labda tcra wanaweza kukusaidia kuhusu alama za vidole za hiyo namba na imesajiliwa kwa namba gani na alitumia simu ya aina gani na katika simu yake anawasiliana na nani mara nyingi tcra watakusaidia hii japokuwa mlolongo ni mrefu pia nashauri watu wawe makini sana wapofanya biashara na watu wasiokuwa na connection nao mana dunia imebadilika watu wamechanganyikiwa hawaogopi kula mali za watu bila khiana.

Kuwa na subira ndugu yangu mali ya mtu haipotei hao lazima na wao itafika zamu yao ya kudhulumiwa.
 
Sasa hivi application za ku hack hizi huduma za miamala zimekuwa nyingi sana, kama MNADAPOA, unashitukia meseji zimeingia tu, ukicheki sender number haipo.
 
Pole sana. Kwa upande wangu malipo ya mtandao sina imani nayo ukija kwangu kupata huduma huwa napokea cash only
 
Broo
Hapa kaka walichokifanya nadhani ni hivi huyo kasema ni ndugu yake hapana sio kweli huyo ni tapeli mwenzake wamecheza mchezo mmoja wa kitoto sana yan kiufupi iko hivi.huyo ndugu yake kasave namba ya jamaa tapeli kama nmb alafu huyo tapeli akatuma hiyo sms ukadhani kama imetoka nmb .pole sana ndugu yangu ilia jaribu kufuatilia hizo namba usajili wake uone utafika sehemu gani labda tcra wanaweza kukusaidia kuhusu alama za vidole za hiyo namba na imesajiliwa kwa namba gani na alitumia simu ya aina gani na katika simu yake anawasiliana na nani mara nyingi tcra watakusaidia hii japokuwa mlolongo ni mrefu pia nashauri watu wawe makini sana wapofanya biashara na watu wasiokuwa na connection nao mana dunia imebadilika watu wamechanganyikiwa hawaogopi kula mali za watu bila khiana.

Kuwa na subira ndugu yangu mali ya mtu haipotei hao lazima na wao itafika zamu yao ya kudhulumiwa.

Ali-edit vipi wakati namba ya Airtel ilikuwa na mtu ambaye yuko mbali na eneo la tukio. Mimi nadhani kuna namna tu imefanyika, au kama huyo mwenye namba ya Airtel alikuwepo kwenye Eneo la tukio hapo naweza kukubali kama walifanya edit.
 
Thank you ndugu... what would you advise me to do. Nifanye go-ahead gani?

Namba ya huyo bwana na ikiwezekana na ya mdogo wake kaziripoti polisi. Najua fika ukimkamata mdogo mtu umemkamata kaka mtu...

Kosa kubwa alilofanya huyo tapeli nikukuunganisha na mdogo wake...

Anza na mdogo mtu atakufikisha kwa kaka mtu...

Watu hawana huruma kabisa...
 
Ila me sijaelewa hii..mbn mitandao yote inaingiliana? Yaan Sasa hv hakuna masuala ya kuulizana una voda? Si unatuma tu kwaoption ya "mitandao mingine"

Ndio... but sikujua kama kwa halotel pia mtu anaweza tuma hela kutoka bank. Thoughts zangu zote ni kupitia airtel it would be successful. Ila ndo ilikua imepangwa hvo, ngoja tu nijipange nianze fatilia nione ntaishia wapi
 
Namba ya huyo bwana na ikiwezekana na ya mdogo wake kaziripoti polisi. Najua fika ukimkamata mdogo mtu umemkamata kaka mtu...

Kosa kubwa alilofanya huyo tapeli nikukuunganisha na mdogo wake...

Anza na mdogo mtu atakufikisha kwa kaka mtu...

Watu hawana huruma kabisa...

Sawa kabisa ndugu yangu.. zote niko nazo, japo huyu ndugu yake since morning hapatikani. Jana wakati naongea nae yule ndugu yake nilikua na plan ya kumpiga picha but thoughts tena sijui ziliishia wapi
 
Asante kwa kutambua ujinga wangu Kuhusu kumpa account, Soma vizuri tena boss. Ilikua jioni, so banks pia zilikua zishafungwa. Na pia nisingekubali aje akanitumie labda kesho yake. Ingekua ngumu ndugu yangu

Bro, uliona ngumu kutumiwa kesho yake ila rahisi pesa yote hiyo ipitie kwa rafiki yako ukaitoe kesho.

........Mchuma janga hula na wa kwao.
 
Broo

Hapa kaka walichokifanya nadhani ni hivi huyo kasema ni ndugu yake hapana sio kweli huyo ni tapeli mwenzake wamecheza mchezo mmoja wa kitoto sana yan kiufupi iko hivi.huyo ndugu yake kasave namba ya jamaa tapeli kama nmb alafu huyo tapeli akatuma hiyo sms ukadhani kama imetoka nmb .pole sana ndugu yangu ilia jaribu kufuatilia hizo namba usajili wake uone utafika sehemu gani labda tcra wanaweza kukusaidia kuhusu alama za vidole za hiyo namba na imesajiliwa kwa namba gani na alitumia simu ya aina gani na katika simu yake anawasiliana na nani mara nyingi tcra watakusaidia hii japokuwa mlolongo ni mrefu pia nashauri watu wawe makini sana wapofanya biashara na watu wasiokuwa na connection nao mana dunia imebadilika watu wamechanganyikiwa hawaogopi kula mali za watu bila khiana.

Kuwa na subira ndugu yangu mali ya mtu haipotei hao lazima na wao itafika zamu yao ya kudhulumiwa.

Hapana kaka... kusema kwamba kasave namba kama NMB sio kweli, sijajua tu ni mchezo gani wameutumia hawa viumbe
 
Bro, uliona ngumu kutumiwa kesho yake ila rahisi pesa yote hiyo ipitie kwa rafiki yako ukaitoe kesho.

........Mchuma janga hula na wa kwao.

Ingekua ngumu kweli kwangu mimi. Ila vp kwa upande wako, Wewe ungeweza kumuamini mtu ambae hujawahi kuonana nae akutumie pesa kesho bro? Na mzigo tayari umekabidhi ndugu yangu
 
Back
Top Bottom