Kutaniko kubwa la vijana wa vyuo uwanja wa Taifa

Bado siku 3 ..Usiku wa sifa!
mc_imani-1558450648994.jpeg
mc_imani-1558450662570.jpeg
mc_imani-1558450682146.jpeg
 
Wakuu,

Vijana ndio nguvu ya nchi na tegemeo kusukuma maendeleo ya nchi kuanzia ngazi ya familia. Taifa lenye vijana wacha Mungu kikamilifu litajengwa kwenye misingi bora na kuepuka maovu mengi.

Umoja wa vyuo Karistimatiki Katoliki umeandaa Usiku wa Sifa ijumaa hii pale uwanja wa Taifa ambao vijana kutoka vyuo vyetu vyote watakutana kumsifu Mungu na kupata mahubiri kutoka kwa Mwl Dr Arbogast Kanuti na Askofu mkuu mstaafu Mhashamu Josephat Lebulu.

Usiku huu umeandaliwa na umoja wa vyuo kwaajili ya watu wote kutoka dini zote na si wanachuo pekee.

Kwaya zitazohudumu ni Lord's grace praise team, Ebenezer praise and worship team, kwaya ya shirikisho TMCS Dar Zone na Dona Jr.

Theme; Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu 1 Yohana 2:14

Usafiri kutoka na kurudi utakuwepo vyuo vyote. Maelezo zaidi piga 0719 131013

View attachment 1102704
usiku wa ngono huo,kwanini wasifanye mchana wanakwama wapi
 
Back
Top Bottom