sio Capital city?Hivi Taiwan ni nchi au ni Jimbo la nchi ya China.
Republic of China (ROC) ilikuwa ni nchi iliyokuwa Asia mashariki ikiwa inatawaliwa na Qing dynasty kuanzia 1912-1945. inajumuisha eneo la china and Taiwan. Baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe (Chinese civil war) ilioongozwa na Kuomintang dhidi ya utawala Qing dynasty.Hivi Taiwan ni nchi au ni Jimbo la nchi ya China.
Taiwan ni nchi na mji wake mkuu no Taipeisio Capital city?
Asante sana kwa maelezo mazuri na nimeelewa sasa.Republic of China (ROC) ilikuwa ni nchi iliyokuwa Asia mashariki ikiwa inatawaliwa na Qing dynasty kuanzia 1912-1945. inajumuisha eneo la china and Taiwan. Baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe (Chinese civil war) ilioongozwa na Kuomintang dhidi ya utawala Qing dynasty.
ushindi wa Kuomintang ukatangaza utawala wao katika kisiwa cha Taiwan kwahiyo ROC ikawa inatawala Taiwan) na wakomunist wakatangaza utawala wao Main land China (people's Republic of China).
Kwahiyo PRC haitawali Taiwan ila ni Taiwan ni moja kati ya sehemu inayotajwa na China (PRC) kuwa ni jimbo lake lililojitenga ila litarudi kwenye utawala wa PRC.
Baada ya wakomunist kuchukua mainland China na kuanzisha PRC baadhi ya wanachama na wafuasi wa Kuomintang (KTM) waliokuwepo mainland China walikimbilia Taiwan na kujitenga kabisa na utawala wa Beijing. Na hivyo kuifanya PRC kukasirika na kutoitambua kama ni nchi huru ingawa inatambuliwa na mataifa 21 wanachama wa umoja wa mataifa na Holy see (Vatican)
Taiwan ni moja kati ya nchi nne ( Singapore, Hong Kong na South Korea) za Asia zenye uchumi unakuwa kwa kasi sana (four Asian tiger economy) kwa kuwa na viwanda vingi . Hong Kong na Singapore zikiongoza katika sekta za kifedha (world financial centers) wakati South Korea na Taiwan ikiwa zinaongoza katika viwanda vya uzalishaji (manufacturing industries) na sekta ya tehama.
Ni nchi iliyoendelea kwenye teknolojia na viwanda kwa haraka zaidi . ni nchi ya 21 kuwa na uchumi mkubwa zaidi. Katika masuala ya demokrasia ni nchi inayoongoza kwa uhuru wa habari, uhuru wa kiuchumi na kijamii ni nchi iliyofanikiwa kutoa huduma bora za afya ya jamii, na inaongoza katika kutoa elimu bora, na maenendeleo ya jamii (Human development)
deleted post
Yaani hapo kabla hajamaliza kuongea mikonyezo ya kufa mtu lazima akutane nayosasa hapo serengeti boy wanahusika
Mbona unawajua mkuu? Kuna kundi la wasanii, kuna waheshimiwa, na kuna wakawaida! Unakumbuka ule wimbo wa Manungayembe? Unajua kwanini waliupiga marufuku?WATAJE MKUU