Hii mechi ni Barcelona jana au ChelseaNasemaje mission impossible, yani mechi lazima itakuwa ngumu kucheza
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Toba yarabi...eeeh Mola tunusuru sisi waja wako.Honeymoon imenogaView attachment 455300
Usimjudge mtu inawezakana ni mapenzi na siyo pesa kila mtu ana test yake. Wewe unaweza kumuona mbaya mwenzio hajiwezi kwakeWanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.