Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,956
- 2,439
- Thread starter
- #241
Tujadili
Tujadili
Shukran mkuu acha nijipangeJengo standard gharama ni Kama ifuafavyo:
1. Boma tshs 16mil
2. kuezeka Tshs 9m - 35mil, kutegemeana na material utakayotumia
3. Finishing isipungue 55mil
Hivi nikitaka kujenga nyumba ya ghorofa moja lakini katika kusave gharama nikanunua cement na nondo kutoka kiwandani moja kwa moja as a retailer, nitakua nimesave au nothing changed? Kama nitafanikiwa kusave ni kiasi gani?
Tofali nitapendelea ya interlock
mmmh???Jengo standard gharama ni Kama ifuafavyo:
1. Boma tshs 16mil
2. kuezeka Tshs 9m - 35mil, kutegemeana na material utakayotumia
3. Finishing isipungue 55mil
Vipi mbona unaguna?mmmh???
Tujadili
Tujadili
Tujadili
Tujadili
Mimi nipo kwenye finishing,Tujadili
Skimming ya nje tunatumia white cement na rangi ya maji. Kuhusu kuchagua rangi, mteja anatumia rangi anayo ipenda.Mimi nipo kwenye finishing,
Nadhani nxt week ntaanza skimming kwa ndabi, je ukuta wa nje nao hufantiwa skimming km wa ndani au kuna marerial nyingine tofauti hasa kwa kuzingatia kuwa nje kuna weather tofauti tofauti.
Asante!!
Nitafurahi pia km utanishauri juu ya rangi za ndani na nje.
Nyumba iko Moshono-Arusha
Sent using Jamii Forums mobile app