Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,956
- 2,439
- Thread starter
- #201
Karibuni
Karibuni
Mkuu hiyo mbona hata mafundi wetu wale wa kawaida kabisa wanaijenga. Au macho yangu hayanioneshi vzr?
Karibuni
Karibuni
Kama hii inakuwa bei gani?
Swali lako ni too general boss. Hata hujui nyumba ina vitu gani?Kama hii inakuwa bei gani?
Samahani sana, nina 20M ninahitaji nyumba ya kuishiSwali lako ni too general boss. Hata hujui nyumba ina vitu gani?
Tuache hayo, hebu nambie unataka nyumba yenye vitu gani? Na ukubwa upi ili nikupe gharama halisi
Ngoja nitafute michoro Ambayo inaendana na 20mSamahani sana, nina 20M ninahitaji nyumba ya kuishi
Itajengwa wapi?Mkuu nyumba ya vyumba vitatu, kimoja master, sebule, jiko store ndogo, dinning, makadirio ni tofali ngapi? Cement mifuko mingapi na bati?? Je kiujumla itanigharimu kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks in advance.Ngoja nitafute michoro Ambayo inaendana na 20m
Kiwanja ni almost tambarare mkuu, kuna slop kidg sna.Itajengwa wapi?
Kiwanja ni tambalale au slop?
Jengo standard gharama ni Kama ifuafavyo: