Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Nashukuru sana, naomba unisaidie kufanya modification kidogo ili kupata BEDROOM ya tatu baada ya kuwa mbili pekee halafu itapendeza kama utanipatia na BOQ kiwanja kiko Kigamboni, Gezaulole.
Thanks in advance.
 
Mkuu kwa budget ile kupata chumba kingine haitatosha. Kama unajambo LA ziada nicheck watsap kwa msaada zaidi. 0655173113
 
Nashukuru sana, naomba unisaidie kufanya modification kidogo ili kupata BEDROOM ya tatu baada ya kuwa mbili pekee halafu itapendeza kama utanipatia na BOQ kiwanja kiko Kigamboni, Gezaulole.
Thanks in advance.
Naweza kukupatia boq ya michoro hiyo na 3bdrm, Lkn itatakiwa ulipe gharama ya kuiandaa hiyo boq kiasi cha Tshs 50000
 
IMG_20181128_163556_521.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom