Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,844
Points
2,000

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,844 2,000
Ni Fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zangu ni ndogo kulingana na uchumi wa mtanzania.

Pia, nafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa. Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.

PIA, NATENGENEZA MFUMO MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO KAMWE.

Napatikana Dar es salaam. Pia, unaweza kunipata Instagram kama 'FUNDI MAHIRI WA UJENZI'

Mawasiliano.

0693179844
Whatsap 0655173113
Barua pepe:
pmoses951@gmail.com
 

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
962
Points
1,000

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
962 1,000
Hivi nikitaka kujenga nyumba ya ghorofa moja lakini katika kusave gharama nikanunua cement na nondo kutoka kiwandani moja kwa moja as a retailer, nitakua nimesave au nothing changed? Kama nitafanikiwa kusave ni kiasi gani?

Tofali nitapendelea ya interlock
Sorry Mkuu una fundi mzuri wa Interlock ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
7,124
Points
2,000

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
7,124 2,000
Nyumba ya vyumba vi4 +master vya ukubwa wa mitre 6 kwa 8 na vyoo/bafu zake kwa ndani, sitting room ya ukubwa wa mitre 10 kwa 12 na public toilets, family hall iwe na ukubwa wa mita 12 kwa 12 na public toilets, madrisha makubwa ya aluminium. Je itacost ngapi mpaka mnanikabidhi
 

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,844
Points
2,000

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,844 2,000
Nyumba ya vyumba vi4 +master vya ukubwa wa mitre 6 kwa 8 na vyoo/bafu zake kwa ndani, sitting room ya ukubwa wa mitre 10 kwa 12 na public toilets, family hall iwe na ukubwa wa mita 12 kwa 12 na public toilets, madrisha makubwa ya aluminium. Je itacost ngapi mpaka mnanikabidhi[/QUOTEkwanza tuanze na mchoro kama huna. Halafu hizo gharama tutazipata baada ya mchoro na kuona kiwanja
 

Forum statistics

Threads 1,353,893
Members 518,423
Posts 33,083,911
Top