BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
- Thread starter
- #141
Matapeli wako sehemu yoyote yenye ishu ya hela, hata hivyo wanaofanya kazi kiuhalali wataendelea kuwepoKwakweli ASANTE kwa kutuweka wazi na hawa MATAPELI.
What goes around always comes around
Unahitajika umakini kwenye kazi yoyote ya hela Kwan Matapeli nao wana mbinu zao Ili wakuibie hela yako
Pole sana kwa aliyetapeliwa!
Sent using Jamii Forums mobile app