Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

09008889f4114458c37b7c72d1cf0ea6.jpg

Milion 170 TSH
Maongezi yapo
Ukubwa wa Eneo ni SQM 1000
Ina vyumba vi3
public Toilet
Sitting Room
jiko
aluminium Windows
Full tiles
Kiufupi nyumba imekalika ___________________
Nyumba kali sana
Ina hati safi yaan Full Documents Tittle deed Kiwanja Ni cha Serikali
__________________
Contact
0753254562
0718295182
0683860978

Sent using Jamii Forums mobile app
 
14dfd663e38683604424aff350c9d63c.jpg

VIWANJA VINAUZWA BAGAMOYO
UKUBWA :SQM 4100

Eneo Lina jumla ya viwanja Vinne, Ambapo kila Kimoja Ni Zaidi ya SQM 1000
___________________
Eneo Linafaa Sana kwa Ufugaji Au Kiwanda Kidogo
_____________________
Ndani ya eneo kuna banda la Mita 30x10
nyumba ya Vyumba Vitatu
Stoo, Jiko, Kisima cha Maji
Majengo yote ni ya tofari

BEI:MILION 180 TZS
Maongezi yapo
_____________________
MIUNDOMBINU: umeme Na Maji Vinapita jirani Na Eneo
_________________
MAHALI : Mapinga Kihalaka km 5 toka Lami (Ukitokea Tegeta Ni Mji Unaofata baada ya bunju)
Eneo linafikika kwa urahisi
Ni Jirani Na Kambi Mpya Ya Jeshi Inayojengwa Au Karibu Na ukumbi wa KKKT
___________________
NYARAKA :Eneo Lote limepimwa Na Lina Hati Ya Ofa (tittle deed)
__________________
Tunapoteza Mda ,Tukitafuta Mali
____________________
For more details
[emoji336]call/sms/wtsp:
0718295182
0753254562
0683860978


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu natafuta kiwanja goba 25&25 kisizidi kilometa moja toka barabara ya mbezi - Mbez samaki kuna million 7
 
ENEO LINAUZWA MKURANGA

BEI: 700,000 kwa Eka 1

Jumla Ya Eka 400
Zinauzwa kuanzia Eka 100 NA kuendelea
________________________
Kuna Maji Matamu unachimba Kisima Wala Hayako Mbali toka Ardhini
Umeme Bado ila Kuna watawa (Masister) Wanampango Wa kuvuta Umeme
____________________
LOCATION : kijiji cha PUBU
umbali toka Lami Kupitia Mwarusembe Km 8
Kupitia Njiapanda Ya Kisele Km 18 Na Kupitia Kiparanganda Km 30 Na Ndiyo Ina Pitika Kwa Sasa
______________________

NYARAKA: Mkataba Wa Mauziano toka Serikali Ya Mtaa
___________________
Tunapoteza Mda ,Tukitafuta Mali
____________________
For more details
[emoji336]call/sms/wtsp:
0718295182
0753254562
0683860978
________________________


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haya maeneo yametulia?? Mkuranga, kibiti, ikwiriri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKUBWA :MITA 25*25
BEI :Mil 16
LOCATION:Tabata Kinyerezi mwisho

mzee anashida ya hela
ndani kuna nyumba kubwa ina vyumba 3 , jiko bafu na choo public
pembeni kuna chumba 1 ndio anakaa mwenyewe njoo na hela tukamalize tu
kipo njia ya salanga kwa mjeshi.
Barabara unaiona
Contact
0753254562
0718295182
0683860978
 
a4811355c1c1dc17dbf24257b9348012.jpg
HOUSE FOR RENT AT MSASANI 3 self contained rooms
Sitting Room
kitchen
Public Toilet
Store
Fence&Parking

Price:800$ per month
Condition of Payment :6-12 month
location: msasani village, near bar be que village restaurant
CONTACT
0718295182
0753254562
0683860978

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2db62c3a39560cb6b80c6e19ec0410bf.jpg
ENEO LINAUZWA BAGAMOYO MAPINGA
Eneo Lina jumla ya viwanja Vinne, Ambapo kila Kimoja Ni Zaidi ya SQM 1000
___________________
Eneo Linafaa Sana kwa Ufugaji Au Kiwanda Kidogo
_____________________
Ndani ya eneo kuna banda la Mita 30x10
nyumba ya Vyumba[/HASHTAG] Vitatu
#Stoo#Jiko#Kisima cha Maji
Majengo yote ni ya tofari

BEI:MILION 180 TZS
Maongezi yapo
_____________________
MIUNDOMBINU: umeme Na Maji Vinapita jirani Na Eneo
_________________
MAHALI: Mapinga Kihalaka km 5 toka Lami (Ukitokea Tegeta Ni Mji Unaofata baada ya bunju)
CONTACT
0718295182
0753254562
0683860978

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fa584f11e3a24464d31067f4be0b7aea.jpg
YARD 4 RENT AT KIGAMBONI
BEI:mil 3 per month(Negotiate)
UKUBWA: SQM 2700

MAHALI: Kigamboni Ferry Mita 400 toka Panton na Mita 100 toka Lami
______________________
MIUNDOMBINU :Eneo Limezungushiwa Ukuta na Geti imara lipo, Maji Na Umeme wa Uhakika
Eneo linafikika kirahisi Gari Kubwa Linafika hadi getini
___________________
Tunapoteza Mda ,Tukitafuta Mali
____________________
For more details
call/sms/wtsp:
0718295182

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NUNUA/UZA/PANGA /PANGISHA NYUMBA, VIWANJA,MASHAMBA, BEACH, MAGARI USED KWA BEI NAFUU. niambie unachohitaji nitakutafutia kwa bei ya uwezo wako #0718295182#0753254562


Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka rum 1. Self iwe na hali nzuri juu gypsum hata km chini hamna tiles powa. Iwe karbu na mlimani cty au gari1 to mlimani cty. Maji umeme vya uhakika. Ofa yangu 70-80elf. Miezi 6, Iwe nzuri.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom