Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Eneo linauzwa kigamboni
Limepimwa Lina hati
Liko karibu na barabara ya lami
Sqm1387
Bei mil 35 maelewano yapo
 
MNADA MNADA NYUMBA KIGAMBONI
Mnada wa Hadhara
SIKU: Jumamosi
TAREHE: 8/7/20017
SAA 4 Asubuhi
_________________
MAHALI:Kigamboni Tuangoma Karibu Na Oil Com
________________
REFRESH MAISHA
__________________

For more details
call/sms/wtsp:
+255718295182
 
Iwe Gari , Nyumba, Viwanja ,Mashamba, Yard, Vifaa Vya Ofis.. yaan Ukitaka chochote niambie nitakutafutia kwa bei ya uwezo wako
Pia Kwa kama unauza ,kukodisha Nyumba, Magari ,Viwanja, Mashamba n.k Nicheki Kwa +255718295182
 
Kuna Noah Old Model namba D 4wheel Imesimama balaa haina tatizo lolote inauzwq mil 10 iko DSM
 
Iko katika hali nzuri sana nina shida ya hela ndugu zangu ,haikawahi kutumika kwa bodaboda
Bei Laki 7
Picha natuma watsap
0718295182
 
Plot 4 Sale Tabata Hati ipo
Plot Imepimwa
Size: 1,516 SQM
Price: 23milion tsh

Maongezi yapo

Location:Tabata, kisuru,bonyokwa

Km 1.5 toka barabara kuu ya bonyokwa na 4km toka segerea

Documents Za Uhakika, Hati safi toka wizarani Cleam tittle deed
______________________
Gari inafika hadi getini
Umeme upo, nguzo moja inatosha kuvuta umeme
_____________________

Picha natuma watsap namba 0718295182
 
NUNUA/UZA/PANGA/PANGISHA NYUMBA, VIWANJA ,MASHAMBA, BEACH, YARD ,MAGARI USED POPOTE DUNIAN NICHEKI MIMI Pia Niambie Chochote Unachohitaji Nitakutafutia Haraka Kwa Bei Nzuri Ya Uwezo Wako 0718295182
 
Kwa kazi nyingine nyingi na picha tafadhari nifollow instragram: @dalalibango
 
Naileta kwenu pikipiki boxer iko katika hali nzuri sana full documents
Bei mil 1.3
Iko DSM
Picha natuma watsap namba
0718295182
 
Pia nina pikipiki inaitwa Scooter hizi ndogo
Full documents
bei 500,000
Iko DSM
 
Gari Inauzwa Vitz Car 4 sale
Vitz
Bei:Tsh 4.8m
Km 160,000
Haidaiwi Imesimaa balaa
Full vibal, full documents

Location😀sm

Njoo uikague na fundi wako
___________________

For more details
call/sms/wtsp:
+255718295182
+255753254563
________________________
NUNUA, UZA ,PANGA, PANGISHA NYUMBA, VIWANJA ,MASHAMBA, BEACH YARD MAGARI USED POPOTE NICHEKI MIMI
Niambie Unachohitaji Nitakutafutia Haraka Kwa Bei Nzuri Ya Uwezo Wako
Mob/wtsp/sms:+255718295182
 
Gari Inauzwa Rav4 model 2005 Car 4 sale
Ccc2360
Model 2005
Bei:Tsh 26m
Haina Tatizo Imesimaa balaa
full documents

Location: Dsm

Njoo uikague na fundi wako
____________________
For more details
call/sms/wtsp:
+255718295182
+255753254562
________________________
NUNUA, UZA ,PANGA, PANGISHA NYUMBA, VIWANJA ,MASHAMBA, BEACH YARD MAGARI USED POPOTE NICHEKI MIMI
Niambie Unachohitaji Nitakutafutia Haraka Kwa Bei Nzuri Ya Uwezo Wako
Mob/wtsp/sms:+255718295182
 
Gari Inauzwa IST New Model Car 4 sale
IST
Model 2007
Bei:Tsh 17.7m
Haina Tatizo Imesimaa balaa
full documents

Location: Dsm

Njoo uikague na fundi wako

For more details
call/sms/wtsp:
+255718295182
+255753254562
________________________
NUNUA, UZA ,PANGA, PANGISHA NYUMBA, VIWANJA ,MASHAMBA, BEACH YARD MAGARI USED POPOTE NICHEKI MIMI
Niambie Unachohitaji Nitakutafutia Haraka Kwa Bei Nzuri Ya Uwezo Wako
Mob/wtsp/sms:+255718295182
 
Car for sale
Price : mil 24
BMW
Chassis #
Version / Class: 320I
Mileage: 104,343km
Engine Size: 2,170cc
Registration Year: 2002 / 6
Automatic
Location: DSM

Njoo uikague na fundi wako

Picha natuma whatsap
___________________
For more details
call/sms/wtsp:
+255718295182

NUNUA, UZA ,PANGA, PANGISHA NYUMBA, VIWANJA ,MASHAMBA, BEACH YARD MAGARI USED POPOTE NICHEKI MIMI
Niambie Unachohitaji Nitakutafutia Haraka Kwa Bei Nzuri Ya Uwezo Wako
Mob/wtsp/sms:+255718295182
 
Inauzwa
Bei:Tsh 5.6m
Passo namb d nzuri
Full vibal full ac
Haijarudiwa rangi
Imesimama balaa
full documents

Location😀sm

Njoo uikague na fundi wako
___________________
For more details
call/sms/wtsp:
+255718295182
____________
NUNUA, UZA ,PANGA, PANGISHA NYUMBA, VIWANJA ,MASHAMBA, BEACH YARD MAGARI USED POPOTE NICHEKI MIMI
Niambie Unachohitaji Nitakutafutia Haraka Kwa Bei Nzuri Ya Uwezo Wako
Mob/wtsp/sms:+255718295182
 
Kitunda Magole(Kiwanja)

Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo.
50Ft X 50Ft. Pamepimwa Kienyeji kwa Mpangilio Mzur kwa Makazi bora.

8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.

Bei: 6.5M
Mazungumzo yapo.

Contact: 0715-240140

50f6a952945470e663883fb58721645c.jpg
 
NUNUA/UZA/PANGA/PANGISHA NYUMBA, VIWANJA, MASHAMBA, BEACH, YARD, MAGARI USED KWA BEI NAFUU

niagize unachotaka, Nitakutafutia kwa bei Nzuri Ya Uwezo Wako
+255718295182 5182

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha wapangaji chakataa madalali







pic+madalali.jpg

Mwanasheria wa Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA),Pamela Kihumo
By Israel Mapunda,

Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz

In Summary
  • Akizungumza na waandishi wa habari leo, Alhamis, Julai 20, mwanasheria wa chama hicho, Pamela Kihumo amesema mara nyingi wamekuwa wakipokea malalamiko kwa wapangaji ambayo yanatokana na baadhi ya madalali wasiotambulika kisheria.

Dar es Salaam. Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA) kimeiomba Serikali kuweka chombo maalumu kitakacho wadhibiti madalali wa nyumba ili kuondokana na migogoro inayotokea kati ya mpangaji na mpangishaji.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Alhamis, Julai 20, mwanasheria wa chama hicho, Pamela Kihumo amesema mara nyingi wamekuwa wakipokea malalamiko kwa wapangaji ambayo yanatokana na baadhi ya madalali wasiotambulika kisheria.

“Tunaiomba Serikali kuweka chombo kitakacho wadhibiti madalali ili kuweza kuwawezesha wapangaji kupata haki zao za kimsingi pindi wanapo kutana na chamgamoto na mwenye nyumba,” amesema Kihumu.

Amesema suala hilo linasababisha mpangaji kuvunjiwa mkataba kabla ya muda wake jambo ambalo linawatesa wapangaji ambapo wanaporudi kuwatafuta madalali hao wanakuwa wameshahama sehemu hiyo.

“Unakutana na dalali mitaani halafu wewe ni mgeni huwezi kujua kama nyumba hii ni nzuri lakini mwisho wa siku unaambiwa uondoke bila hata mkataba wako kwisha wakati hujajiandaa,” amesema Kihumu.

Pia, amesema endapo kutakuwepo na mamlaka ya kuwadhibiti madalali hao Serikali ingeweza hata kuwaandalia utaratibu na wa kulipa kodi kutokana na shughuli zao wanazozifanya.

Katibu Mkuu wa chama hicho, Ndumey Mukama anasema wakati mwingine wapangishaji wamekuwa na tabia ya kuwatoza kodi kubwa wapangaji ambapo ukiangalia nyumba yenyewe haina hata umeme wala sakafu.

“Unamkuta mpangishaji anakuambia lipia chumba kimoja Sh50,000 kwa mwezi wakati hakina hata maji ambapo hata kwenye mkataba wako unaona hivyo na ukigoma unalazimishwa uhame,”amesema Mukama.

Anasema kuwepo kwa chombo hicho kitasaidia kutoa mwongozo wa masuala ya upangaji kwa kuweka mikakati itakayosimamiwa na Serikali katika kuboresha hali ya upangishaji nchini.

Mukama anasema ili kuweza kuleta uwiano mzuri katika masuala ya ulipaji fidia kati ya mpangishaji lazima watu watakao fukuzwa kabla ya mkataba wao kumalizika wafanyiwe utaratibu wa kulipa fidia.

Pia, anasema viongozi wa Serikali za Mitaa na wadau mbalimbali wasaidie kumtetea mpangaji katika kusuluhisha migogoro inayotokea baina yao na wenye nyumba ili waweze kutambua haki zao.


Sheria ipi inasema udalali ni Biahara haramu
 
Wakuu kuna magari ya kutosha kwenye stock yangu unachotakakiwa ni kutoa oda ya gari gani unayoitaka nami nitakupatia kwa bei nafuu +255718295182

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom