Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Chama cha wapangaji chakataa madalali







pic+madalali.jpg

Mwanasheria wa Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA),Pamela Kihumo
By Israel Mapunda,

Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz

In Summary
  • Akizungumza na waandishi wa habari leo, Alhamis, Julai 20, mwanasheria wa chama hicho, Pamela Kihumo amesema mara nyingi wamekuwa wakipokea malalamiko kwa wapangaji ambayo yanatokana na baadhi ya madalali wasiotambulika kisheria.

Dar es Salaam. Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA) kimeiomba Serikali kuweka chombo maalumu kitakacho wadhibiti madalali wa nyumba ili kuondokana na migogoro inayotokea kati ya mpangaji na mpangishaji.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Alhamis, Julai 20, mwanasheria wa chama hicho, Pamela Kihumo amesema mara nyingi wamekuwa wakipokea malalamiko kwa wapangaji ambayo yanatokana na baadhi ya madalali wasiotambulika kisheria.

“Tunaiomba Serikali kuweka chombo kitakacho wadhibiti madalali ili kuweza kuwawezesha wapangaji kupata haki zao za kimsingi pindi wanapo kutana na chamgamoto na mwenye nyumba,” amesema Kihumu.

Amesema suala hilo linasababisha mpangaji kuvunjiwa mkataba kabla ya muda wake jambo ambalo linawatesa wapangaji ambapo wanaporudi kuwatafuta madalali hao wanakuwa wameshahama sehemu hiyo.

“Unakutana na dalali mitaani halafu wewe ni mgeni huwezi kujua kama nyumba hii ni nzuri lakini mwisho wa siku unaambiwa uondoke bila hata mkataba wako kwisha wakati hujajiandaa,” amesema Kihumu.

Pia, amesema endapo kutakuwepo na mamlaka ya kuwadhibiti madalali hao Serikali ingeweza hata kuwaandalia utaratibu na wa kulipa kodi kutokana na shughuli zao wanazozifanya.

Katibu Mkuu wa chama hicho, Ndumey Mukama anasema wakati mwingine wapangishaji wamekuwa na tabia ya kuwatoza kodi kubwa wapangaji ambapo ukiangalia nyumba yenyewe haina hata umeme wala sakafu.

“Unamkuta mpangishaji anakuambia lipia chumba kimoja Sh50,000 kwa mwezi wakati hakina hata maji ambapo hata kwenye mkataba wako unaona hivyo na ukigoma unalazimishwa uhame,”amesema Mukama.

Anasema kuwepo kwa chombo hicho kitasaidia kutoa mwongozo wa masuala ya upangaji kwa kuweka mikakati itakayosimamiwa na Serikali katika kuboresha hali ya upangishaji nchini.

Mukama anasema ili kuweza kuleta uwiano mzuri katika masuala ya ulipaji fidia kati ya mpangishaji lazima watu watakao fukuzwa kabla ya mkataba wao kumalizika wafanyiwe utaratibu wa kulipa fidia.

Pia, anasema viongozi wa Serikali za Mitaa na wadau mbalimbali wasaidie kumtetea mpangaji katika kusuluhisha migogoro inayotokea baina yao na wenye nyumba ili waweze kutambua haki zao.
Sijaona mgogoro anaousababisha dalali hapo
Hata ukiwaondoa madalali, Kama mpangishaji sio mstaarabu lazima migogoro iwepo
Tambueni jukumu kabla la dalali ni kuwaunganisha Kati ya mpangaji na mpangishaji

Suala la matatizo ya mpangishaji hilo ni suala binafsi ambalo sio mara zote dalali anaweza jua matatizo ya mpangishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji chumba na sebule
Maeneo ya kinondoni,mwenge,sinza,m nyamala au k nyama
chumba kiwe kizur na kusiwe na wapangaj weng
naomba bei kwa eneo husika
 
Nyie ndio mnaoanzisha lakini mnaanguka vibaya sana, mlianzisha gas na ngano lakini saizi zinaingia kwa fujo tena two times than before, hiyo issue ya university vimefungiwa vyuo 19 na course 75 zimefutwa nyie mkiongoza group la makanjanja.

Wakuu kuna magari ya kutosha kwenye stock yangu unachotakakiwa ni kutoa oda ya gari gani unayoitaka nami nitakupatia kwa bei nafuu +255718295182

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijaona mgogoro anaousababisha dalali hapo
Hata ukiwaondoa madalali, Kama mpangishaji sio mstaarabu lazima migogoro iwepo
Tambueni jukumu kabla la dalali ni kuwaunganisha Kati ya mpangaji na mpangishaji

Suala la matatizo ya mpangishaji hilo ni suala binafsi ambalo sio mara zote dalali anaweza jua matatizo ya mpangishaji

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NUNUA/UZA/PANGA /PANGISHA NYUMBA, VIWANJA,MASHAMBA, BEACH, MAGARI USED KWA BEI NAFUU. niambie unachohitaji nitakutafutia kwa bei ya uwezo wako #0718295182#0753254562


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kama una bidhaa yoyote iwe Gari, Nyumba, Kiwanja N.k
Nitumie sasa,
0718295182
0753254562
Nina platform nzuri ya kukutafutia wateja
Nitumie sasa ni bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaman kuweni makini kuna ndugu yangu kachukua contact za dalali humu humu ,dalali kamuunganisha na mwenye Nyumba feki,Nyumba ziko kimara korogwe ,amelipa kodi miezi sita siku ya kuhamia mwenye Nyumba na dalali hawapokei simu. wanamhusisha mwanamke eti ndo mamamwenye Nyumba ni mmama MTU mzima anajifanya ni mlokole anasali Kwa lusekelo,mweusi,mnene kuweni makini na hawa matapeli

fisi 2 uko sahihi kuhoji mi nawachukui hawa wanaofanya utapeli hali ilivyo ngumu yaani ndugu yangu huyo alivyotapeliwa inauma,alafu wanabadilisha namba za simu kila siku ni wako na Kupatana ,nawatahadharisha ndugu zangu
Kwakweli ASANTE kwa kutuweka wazi na hawa MATAPELI.

What goes around always comes around
 
Nahitaji kiwanja pale maeneo ya magogoni ntampata?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom