Laki 2.5 hafiki chiefchumba na sebule chenye choo cha ndani,jiko,tiles,umeme na maji viwepo,gypsum.wapangaji wasizidi watatu..mahali nyumba iwe ubungo riverside au kimara suka na kimara rombo...budget yangu ni 150k-200k.
hiyo ya laki 2.5 ikoje mkuu na iko sehemu gan?kama unaweza kuweka picha yake iweke hapaLaki 2.5 hafiki chief
Master imetulia tiles bei 150 IPO Mpakani- ukitaka yenye kitanda ndani pia ipo
Mawasiliano 0658183618
Jirani na MwengeMpakni wapi mkuu
Ina sebule mkuu?Jirani na Mwenge
Hapana haina Sebule n master tu na kitanda ndani call 0658183618 ukaichekiIna sebule mkuu?
Tuna nyumba yetu ya urithi iliyopo kibaha mjini, opposite West gate girls School.Tunauza kwa milioni kumi na Tisa laki tano tu. Kwa kuwa sisi siyo madalali, tunatoa ofa ya laki tano (tzs 500,000/-) kwa yeyote atayefanikisha kutuletea mteja.Karibu sana
Ina sebule mkuu?
Weka pichaDon,njoo nkupangishe vyumba viwili sitting room kubwa,jiko,parking geti 300,000 main road mwananyamala komakoma,mimi ndo mama mwenye nyumba wako,nakupisha nahamia vyumba vya nyuma maana mjini pagumu
Mama mwenye NYUMBA ndio wewe si mtihani huuDon,njoo nkupangishe vyumba viwili sitting room kubwa,jiko,parking geti 300,000 main road mwananyamala komakoma,mimi ndo mama mwenye nyumba wako,nakupisha nahamia vyumba vya nyuma maana mjini pagumu
Fanya 150Don,njoo nkupangishe vyumba viwili sitting room kubwa,jiko,parking geti 300,000 main road mwananyamala komakoma,mimi ndo mama mwenye nyumba wako,nakupisha nahamia vyumba vya nyuma maana mjini pagumu