amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,167
- 31,351
Ha Ha Ujue natafuta mpangaji wiki ya 2 sasa,usinfanyie hivyo
Mama mwenye NYUMBA ndio wewe si mtihani huu
Mama mwenye NYUMBA ndio wewe si mtihani huu
Haiwezekani,wa 250 Nliwakataa UjueFanya 150
Dalali nitafutie kiwanja kibada,block za jirani,kiwe na sqmt 1000 na kuendelea,bajet haizidi mil 18.HOUSE 4 SALE
LOCATION KIGAMBONI KIBADA BLOCK 23 DK 5 KWA MIGUU TOKA MAIN ROAD DARESSALAAM TANZANIA
__
DOCUMENT TITLE DEED HATI
___
UKUBWA WA KIWANJA SQM 1000
___
Vyumba, Vitatu vya kulala Kimoja kati yake ni, master, sebule jiko, dining, Tiles, Gypsum, stoo, LUKUYAKE, Fence, parking, maji, pavingblock
___
PRICE MILIONI MIA MBILI HAMSINI (250,000,000 TZS)
NEGOTIABLE
___
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
Instagram😡dalalibango
facebook😡dalali bangoView attachment 779127
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mkoa Wa Dar es salaam
Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba, Beach,Magari Nk
Napokea Matangazo Na Kutangaza Bure
Asante
___
CALL
0718295182 *WATSAP*
0765505909
Tuna nyumba iko dodoma maeneo ya chinangali tunauza mil. 40Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mkoa Wa Dar es salaam
Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba, Beach,Magari Nk
Napokea Matangazo Na Kutangaza Bure
Asante
___
CALL
0718295182 *WATSAP*
0765505909
Nitumie picha watsap nambaTuna nyumba iko dodoma maeneo ya chinangali tunauza mil. 40
Warembo tupu sina chiefKuna jamaa yangu anatafuta chumba kwenye nyumba iliyojaa warembo tu. Kama vipo basi ni PM niwaunganishe.
Kuna skwata ya SQM 1200 unaingilia kibada hospital unatembea kwa miguu DK 15 TOKA lami Bei Mil 15 TZSDalali nitafutie kiwanja kibada,block za jirani,kiwe na sqmt 1000 na kuendelea,bajet haizidi mil 18.
Zingatia
Block jirani na kibada shule a gari bovu,budget ndio hio hapo.
Weka picha ya ndani ,nje na choo,nimpangie mdg Wangu,mie hy mitaa hapana kwa kweli ,miezi 3 unachukua?Ha Ha Ujue natafuta mpangaji wiki ya 2 sasa,usinfanyie hivyo
Weka picha ya ndani ,nje na choo,nimpangie mdg Wangu,mie hy mitaa hapana kwa kweli ,miezi 3 unachukua?
8 Mpaka 6 nachukua Ila 3 Hapana,hapa penyewe ukitoka nje cookie liquor store unaona,nk,masai n,k mwendokasi upo Lami Mpaka Mlangoni,ngoja nilete picha
Mwananyamala kuna mwendo kasi? Km miezi 3 huchukui basi nimechemka Mimi8 Mpaka 6 nachukua Ila 3 Hapana,hapa penyewe ukitoka nje cookie liquor store unaona,nk,masai n,k mwendokasi upo Lami Mpaka Mlangoni,ngoja nilete picha
KaribuniKwa Update za nyumba, viwanja, mashamba ofisi na FREM
FOLLOW
Instagram @dalalibango
Facebook @dalalibango
Naweza pata Chumba self TegetaKAMA UNAHITAJI KUUZA KUNUNUA KUPANGA AU KUPANGISHA NYUMBA VIWANJA MASHAMBA FREM NA OFISI CALL
0718295182
0765505909
Laki 1 kipoNaweza pata Chumba self Tegeta
Mitaa ipi mkuu kwa hapo Tegeta, ni cha ndani au njeLaki 1 kipo