Ishapngishwa mkuu?Master imetulia tiles bei 150 IPO Mpakani- ukitaka yenye kitanda ndani pia ipo
Mawasiliano 0658183618
Ndio Bei ni kuanzia laki 2 na kuendelea bei inashuka au kupanda kulingana na ubora wa nyumba na mazingiraChumba na sebule, makumbusho au kinondoni. Ntapata?
ContactChumba na sebule, makumbusho au kinondoni. Ntapata?
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mkoa Wa Dar es salaam
Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba, Beach,Magari Nk
Napokea Matangazo Na Kutangaza Bure
Asante
___
CALL
0718295182 *WATSAP*
0765505909
Sawa ndugu akitokea mtu ntakujuzaKuna yard Kurasini, karibu na Bandarini ( jirani na cargo star yard), sqm 3500 tunatafuta mpangaji. Bei kuanzia ni $ 3/ sqm lakini ipo nafasi ya kuongea biashara.
Ndugu ni vizuri ukafungua uzi wako. Hii ni sehemu yangu maalumu kama una kazi wasiliana nami namba ziko hapo juu tafadhali*GOGO AGENTS*
HABARINI ZA MDA HUU
Ni hivi kwa yeyote anae hitaji kupanga
Nyumba, Chumba, Vyumba, Hostel na Frame za biashara.
Kununua
Nyumba, Kiwanja na Gari.
DAR ES SALAAM
*KWA MAENEO YAFUATATO*
Savei, Mlalakuwa, Mpakam, Makongo, Changanyikeni, Ubungo, Sinza, Kijitonyama, Mwenge, Mikocheni, Tegeta, Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kimara, Kinondoni, Msasani Masaki, Magomeni, Mabibo na Tabata.
Usihangaike Tupigie
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
0659140516 & wtsp
0752509867
0789390128
Au tembelea
IG @gogo_agents
FB Gogo AGENTS
Twt Gogo AGENTS
sambaza ujumbe.