JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 739
- 654
Nicheki 0658183618
Nicheki 0658183618
PoaNicheki 0658183618
Ipo Mwenge bei 220Master na sebule yake, kuanzia ubungo,mwenge,knyama,mpaka makumbusho leta bei mkuu
Korogwe na TemboniIpo master na sebule yake mwenge kodi 220
Iko wapi hiiKuna moja kali inataka laki 1.7
Njoo kawe nikupe ina room mbili choo master sebure kubwa bei laki na sabiniIko wapi hii
Asante...ningependa maeneo ya mwendokasiNjoo kawe nikupe ina room mbili choo master sebure kubwa bei laki na sabini
Ila mkuu kawe usafiri upo wa mwingi sana kila mahari dala dala zote zipo wala hakuna usumbufu wa usafiriAsante...ningependa maeneo ya mwendokasi
nahitaji chumba maeneo ya karibu na temeke hospitali (hata ikiwa sehemu ya kupanda daladala moja ila umbal usizd dakika 30) ,kikiwa self itapendeza zaid .Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mkoa Wa Dar es salaam
Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba, Beach,Magari Nk
Napokea Matangazo Na Kutangaza Bure
Asante
___
CALL
0718295182 *WATSAP*
0765505909
Kwa update ya haraka BOFYA HAPA KUJIUNGA WATSAP GROUP
_________________________
BANGO
Mkuu mumak hiyo nyumba ya kawe bado ipo kama ipo nijulusheIla mkuu kawe usafiri upo wa mwingi sana kila mahari dala dala zote zipo wala hakuna usumbufu wa usafiri
Sijakuelewa chief umelenga kuongea nininaona madalali mmestandadize bei..bei zenu ni hizi hizi