bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 743
Wewe fisi mtu embu wacha vijana wafanye kazi zao........tukikuchunguza kwa makini hata wewe haulipi kodi hapo ulipoUna kibali cha udalali? Una nyaraka za mlipa kodi? Nyie ndio mnaoibia sekta ya nyumba nchini. Kwa vile umeweka na mawasiliano yako basi tarajia ugeni halali ndani ya siku 10. Tumedhamiria kukomesha biashara haramu kwenye ardhi na nyumba nchini.