Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Nahitaj tumba mwenge chini ya elfu tisini nan anacho kikiwa kinajitegemea ni bora zaidi
 
Mkuu nataka frem mbezi beach kuanzia tangibovu hadi afrikana, itazame bagamoyo road, isizid laki 2, malipo miezi 6.
 
Mimi nina master na sebule ipo Mwenge karibu na Tra bei 200,000/= full tiles na ipo ndani ya geti
 
Mkuu nataka frem mbezi beach kuanzia tangibovu hadi afrikana, itazame bagamoyo road, isizid laki 2, malipo miezi 6.
Tankbovu zipo kuanzia 180, 000 hadi 200,000 Call 0718295182, 0753254562
 
Nyumba ipo Sinza vyumba viwili kimoja master, jiko, sebule, public toilet ndani ya fence
Laki 3.5 kwa mwezi
 
kwa mnaohitaji maeneo ya uwekezaji kama mifugo, kiwanda. Bagamoyo
Call
0718295182
0753254562
 
Natafuta nyumba ya vyumba viwili na sebule,iwe ndani ya fence,maeneo ya tabata pia iwe karibu na barabarani
 
Natafuta nyumba ya vyumba viwili na sebule,iwe ndani ya fence,maeneo ya tabata pia iwe karibu na barabarani
Ipo ya Laki 3 chief appartement viwili kimoja master jiko, sebule, choo public ndani ya fence
 
Back
Top Bottom