Kutana na Bujibuji akiwa kazini

Kutana na Bujibuji akiwa kazini

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,678
392064_292946797396560_274512884_n.jpg
 
Fees ya kozi nzima ni bei gani, nitumie account ya chuo nikulipie then njoo ufuate bank slip.
 
Subur wakuletee
kaokote makopo ya plastic ukauze
thrwise wa2 watajua upo kwenye maandamano ya masela wanataka wapewe na wenyewe mikopo vijiweni!!!
 
Fees ya kozi nzima ni bei gani, nitumie account ya chuo nikulipie then njoo ufuate bank slip.


aaash! Usimlipie wewe tunatakiwa tumfungulie kibanda cha nyanya sokon aone raha ya kutafuta
maana akienda kozi huyo akirudi ni kulipza kisas tu!, akikamatwa keko
sasa faida gani kapata!!
 
aaash! Usimlipie wewe tunatakiwa tumfungulie kibanda cha nyanya sokon aone raha ya kutafuta
maana akienda kozi huyo akirudi ni kulipza kisas tu!, akikamatwa keko
sasa faida gani kapata!!

kama ana nia ya kweli ya kungfu lessons hata ukimfungulia kibanda cha nyanya atatumia mtaji kwenda mafunzoni, mi naona tumlipie tu tusimbanie, kama noma na iwe noma akarevenge yeye.
 
Kumbe wewe ndio tulikubakiza....ngoja tuje tumalizie kazi...:A S shade:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom