Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume chake na bahati mbaya pia maana tulimpata Rais John Magufuli aliyekuwa na ndoto ya kuifanya Tanzania kama Ulaya lakini akaondoka ghafla, mwaka 2001 kiwango cha umasikini kwa nchi ya Rwanda kilikuwa asilimia 77% na hivi leo kiwango cha umasikini kimepungua hadi asilimia 30% huu ndio ubora wa Rais ambaye Afrika inaota kuwa nae.

Paul Kagame ni mmoja wa Marais bora kutoka Afrika "one of the best President" na matokeo yanaonekana, ukifika pale Kigali heights unaweza usiamini macho yako na kwa namna fulani unaweza kudhani uko Ulaya,miundombinu bora na usafi, hivi vitakufanya kuwa confused kama uko first world country,kwa speed waliyonayo nchi ya Rwanda sio muda mrefu Rwanda ikawa katika standard za nchi nyingi za ulaya,na unaporudi Tanzania inabidi ucheke tuu, maana Tanzania ni nchi kubwa yenye idadi ya watu milioni sitini na utajiri mkubwa wa rasilimali, udongo wenye rutuba,Mlima Kilimanjaro, Mbuga ishirini za Wanyama ikiongozwa na Serengeti, Dhahabu, Almasi, Tanzanite na zaidi ya yote tuna Bandari kubwa ya Dar es Salam ambayo inategemewa na Rwanda yenyewe,Congo,Zambia,Malawi,Burundi na Zimbabwe,narudia tena Tanzania tungekuwa na Rais Paul Kagame kwa huu utajiri tuliojaariwa na Mwenyezi Mungu,nafikiri tungekuwa tunashindana na South Africa au tumewapita.

Rwanda imefanya mabadiliko ya ajabu na utalii umekuwa kiini cha mabadiliko hayo,Rwanda ikijengwa upya juu ya msingi imara wa kufanya kazi na mafanikio,na kuwezeshwa na dhamira ya kufanikiwa,Rwanda sasa inaongoza katika elimu na wajibu wa mazingira,Mbuga za wanyama zimeundwa ili jamii ziweze kufaidika na uhifadhi na mipango ya kupambana na ujangili imelinda idadi ya masokwe wa kipekee nchini sambamba na kuanzishwa kwa msitu mkubwa zaidi wa mlima unaolindwa Afrika,ipo sherehe kubwa ya kuwapa Sokwe majina,hii ni namna moja ya kivutio cha watalii,Rwanda sasa inakaribisha watalii milioni kwa mwaka na uchumi wake wa utalii unakua,kama utafiti wetu unavyoonyesha,ni hadithi ya kutia moyo ya kupona na mabadiliko,hivi ndivyo utalii unavyoifaidisha Rwanda na kuongeza uchumi wake,kuitoa nchi kwenye umasikini.

Sera nzuri ya kiuchumi ya Rwanda ndio imefanya nchi nyingi za magharibi zimpende Rais Paul Kagame,unajua mzungu anastaajabu na kukupongeza pale unapofanya jambo ambalo yeye alidhani hauwezi kufanya,japo mzungu atakuwa na plan b ya kukufanya ushindwe,Rais Kagame ameruhusu uchumi uwe huria kwa sheria za Rwanda na kuondoa vikwazo kadha wa kadha kwa wafanyabiashara lakini wanalipa kodi inavotakiwa,Rais Kagame amegeuza kilimo cha kizamani kuwa kilimo chenye tija kwa sasa kwa kutumia ujuzi na elimu yaani knowledge based ecomony ambapo wakulima wanaboresha masoko ya bidhaa za kilimo,kuongeza uthamani kwenye bidhaa zao na hata kununua malighafi na kutengeneza bidhaa zilizoongezwa uthamani kwa nembo ya Rwanda,Rwanda ya Paul Kagame inatumia uzuri madini yake na Rasilimali yake ndogo waliyobarikiwa na Mungu,ambapo kwa kutumia madini na Rasilimali hiyohiyo Rwanda imeweza kuwekeza kwenye viwanda vikubwa kama kiwanda cha magari ya VW na hata kujenga satelite yake,kwa namna hiyo Rwanda inashikilia njia kuu za uchumi kwa kuhakikisha kwamba wafanyabiashara na makampuni yote yana connection na serikalini,Utegemezi wa Rwanda kwa nchi za magharibi upo katika utulivu wakati wao wakitumia maliasili zao kidogo walizobarikiwa na Mungu kuijenga Rwanda ili ifanane na Ulaya.

Afya nchini Rwanda ni bure na kwa wote,matarajio ya kuishi kwa Rwanda ni makubwa,vifo vingi ni kuanzia miaka 69 na kuendelea,ukosefu wa ajira umepungua,wahenga wanasema ukitaka kuona nyumba ina amani,basi usiku utasikia vitanda vinalia,Rwanda kwa sasa ina amani kwani vizazi vinaongezeka,jana nimesikia Rwanda wamebadili muda wa kuanza na kumaliza masomo na saa za kazi,kuanzia Januari 01 2023,shule zote zitaanza masomo saa 2:30 asubuhi na kumaliza saa 11 jioni,saa za kazi ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni.hii kuwaongezea muda wa kulala watoto kwani wanaamshwa alfajiri sana na wanasinzia shuleni,na pia ni kuwawezesha wazazi waweze kuwaona watoto wao na kunywa nao chai kabla ya kwenda shule/kazini,naam Rwanda inathamini watu wake,na uzao wake, huku kwetu saa kumi na moja asubuhi utaona viwanafunzi vya Chekechea vinazunguka na bus la shule,nusu yao wakiwa wamelala kwenye seat,malezi yamekuwa ili mradi tu.

-Mkinipa Bandari ya Dar es Salaam nitailisha Afrika.

Utani wa kweli niliosikia ukisemwa na watu waliodai umetoka kwa Rais Mkweli,Paulo Kagame, Nchi yetu ya Tanzania kama ikitumia vyema bandari yetu ya Dar es Salaam ina uwezekano wa kuzalisha asilimia 45 hadi 50 ya bajeti ya Taifa la Tanzania,kwa hivi sasa hatuitumii vizuri ila kuna mtu mmoja mmoja anaitumia vizuri kiasi cha kuwa tajiri na kushangaa kwa nini Tanzania ni nchi masikini!? Rwanda ametenga mita za mraba 20,000 za bandari kavu,hizi mita za mraba zimekuwa ufuguo wa Rwanda kuingia katika biashara ya Bandari, Dubai, Bandari tatu ziko pamoja zinasafirisha kontena million 22 kwa mwaka,ilihali sisi hapa Tanzania tumezungukwa na nchi nane,na Bandari iko peke yake ya Dae es Salaam,sijataja Tanga,Kigoma na Mtwara lakini tunasafirisha kontena 700,000 tu kwa mwaka,haiingii akilini zaidi kama Rwanda na bandari yao kavu watakuwa wanasafirisha kontena millioni 10 na kuweza kuzalisha asilimia 45 hadi 50 ya bajeti ya taifa lao,itakuwaje kama tukiwapa bandari yetu ya Dar es Salaam!?

-Matumizi na ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam ni mdogo.

Hivi leo hata Somalia wanapeleka kondoo, matikiti maji, vitunguu, nyanya,mchicha, viazi na kila chakula unachokiwaza kikiuzwa Dubai kutokea Somalia,ilihali sisi huu ni msamiati,ukiuliza inakuwaje sisi hatuwezi hili,unapewa jibu la aina yake.“Shida si Watanzania,bali mifumo iliyowekwa na viongozi wenu,kinachotakiwa ni kuwawezesha Watanzania,kuwajengea maghala ya kuhifadhia bidhaa za kilimo karibu na Bandari,kuwaeleza viwango na mbinu bora za kilimo.Je bado bandari yetu ya Dar es Salaam mteja akiwa na kontena lake,hatalazimika kusubiri ‘winch’ ipangue makontena matano kufikia kontena lake la chini au tutakwenda kwenye teknolojia Kontena zitakuwa zinapangwa kwenye chanja (shelves) ambazo ukibonyeza kifungo (button) na kuweka namba ya kontena husika,hata kama litakuwa katikati ya kontena 30,000 litajichomoa na kutoka nje.

-Air Rwanda,The dream of Afrika.

Rais Magufuli alifanya kama Rais Kagame alivyofanya,alinunua ndege kama "National flier" kuitangaza Tanzania kiutalii,utapopanda Air Tanzania,the wings of Kilimanjaro,hautatua tena Nairobi halafu uende Maasai Mara kuona Mlima Kilimanjaro,bali Utatua moja kwa moja Mkoani Kilimanjaro,nchini Tanzania,Tukifikia hapo tayari Rwanda walikuwa na miaka 13 katika hii biashara ya anga,na licha ya kuwa Rwandair imekua haijiendeshi kwa faida lakini Rais Paul Kagame amekua akisema kua uwepo wa wa shirika hilo lengo kubwa ni kuitangaza nchi yao kimataifa katika utalii na kwa kweli wamefanikiwa,kwa sasa wanajenga airport mpya ya kisasa kabisa,wanarusha ndege zao katika nchi nyingi za Africa magharibi na Africa mashariki na baada ya kupokea hizi Airbus mbili wanaanza kuruka hadi Asia,Europe na Marekani,aada ya miaka michache watakua kama Bole Int'l airport kule Adis au Oliver Tambo ya SA,nimpongeze pia kwa kulinunua lindege likubwa na la kisasa la maonesho Mwaka 2016.ni ndege ya kisasa hasa,Ndege hiyo ilikuwa na thaman ya Bilioni 450 Tsh au USD mil 200.wanasema kwa Afrika ni ndege ya kwanza kwa Ubora,Rwanda ikaingia kwenye ushindani na mashirika makubwa kabisa kama Emirates, British Airways,KLM.Hongera Rais Paul Kagame.

Nimalizie na jiji la kigali,katika mitaa ya jiji la kigali hakuna uchafu,hakuna mifuko meusi ya plastic,hakuna machokoraa,kila mtoto ana Mama na Baba yake,na yatima wasio na ndugu wanalelewa sehemu maalum na wanahudumiwa,hakuna vijizi,vipanya road wala vibaka,waliokuwa na roho ya wizi walikusanywa na kupelekwa "rehabilitation center" kisiwani katikati ya ziwa kivu,hakuna nyumba ya matope wala nyumba ya mabati "slams" Serikali ya Rwanda imepiga marufuku nyumba hizo,Rwanda ni sehemu salama ya kutembelea,hii ndio Kigali ya Rais Paul Kagame,A President with a big brain,In Rwanda they always advocate
We are a smallest Country with biggest brain than any East and Central Africa country,Rwanda ni nchi ndogo yenye watu million 15 tu wenye akili nyingi na kuibadilisha Rwanda kuwa Ulaya.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Hamia Rwanda
 
Crap… 💩
 
OIP.BpYBNy0YKcHHHIO4yUxX9wHaEn

Una maana that murderer!
Ningeshangaa sana usingetoa hii comment
 
Hakuna mahali popote alipo mswahili tena mbaya kabisa awe kiongozi pamewahi kufanikiwa..culture ya kiarabu ni mafanikio kupitia ushirikina..na wivu mwingi kwa anayefanikiwa, angalia comments za waswahili hapa utakubali ninachosema..lakini Rais Kagame ameibadilisha Rwanda, tafuta Nchi Africa hii iliyopitia disaster km ya Rwanda km hata tu wana shirika la ndege linalomilikiwa na serikali..! watanzania tuvae makobazi tu na kaunda suti lkn, maendeleo tusahau..nchi inatambikiwa wananchi wawe km mazombie, miezi zaidi ya 7 sasa mgao wa umeme halafu watu wako km majuha wanakashifu nchi zingine wanasahau matatizo waliyo nayo ya kujitakia..kuna maendeleo hapo? SAHAU!
 
Tukiwa vijana, Mwalimu Nyerere aliwahi sema, mtu mbaya usipoweza kumfanya lolote, mzomeeni tu!
Mtu kama huyu bado anaota kauli za miaka 50 iliyopita na kuzifanya reference ya zama hizi..na ukute huyu labda ni mwenyekiti wa mtaa au balozi.., hao wengine si ni majanga!
 
Hakuna mahali popote alipo mswahili tena mbaya kabisa awe kiongozi pamewahi kufanikiwa..culture ya kiarabu ni mafanikio kupitia ushirikina..na wivu mwingi kwa anayefanikiwa, angalia comments za waswahili hapa utakubali ninachosema..lakini Rais Kagame ameibadilisha Rwanda, tafuta Nchi Africa hii iliyopitia disaster km ya Rwanda km hata tu wana shirika la ndege linalomilikiwa na serikali..! watanzania tuvae makobazi tu na kaunda suti lkn, maendeleo tusahau..nchi inatambikiwa wananchi wawe km mazombie, miezi zaidi ya 7 sasa mgao wa umeme halafu watu wako km majuha wanakashifu nchi zingine wanasahau matatizo waliyo nayo ya kujitakia..kuna maendeleo hapo? SAHAU!
Hamia Rwanda.
 
Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume chake na bahati mbaya pia maana tulimpata Rais John Magufuli aliyekuwa na ndoto ya kuifanya Tanzania kama Ulaya lakini akaondoka ghafla, mwaka 2001 kiwango cha umasikini kwa nchi ya Rwanda kilikuwa asilimia 77% na hivi leo kiwango cha umasikini kimepungua hadi asilimia 30% huu ndio ubora wa Rais ambaye Afrika inaota kuwa nae.

Paul Kagame ni mmoja wa Marais bora kutoka Afrika "one of the best President" na matokeo yanaonekana, ukifika pale Kigali heights unaweza usiamini macho yako na kwa namna fulani unaweza kudhani uko Ulaya,miundombinu bora na usafi, hivi vitakufanya kuwa confused kama uko first world country,kwa speed waliyonayo nchi ya Rwanda sio muda mrefu Rwanda ikawa katika standard za nchi nyingi za ulaya,na unaporudi Tanzania inabidi ucheke tuu, maana Tanzania ni nchi kubwa yenye idadi ya watu milioni sitini na utajiri mkubwa wa rasilimali, udongo wenye rutuba,Mlima Kilimanjaro, Mbuga ishirini za Wanyama ikiongozwa na Serengeti, Dhahabu, Almasi, Tanzanite na zaidi ya yote tuna Bandari kubwa ya Dar es Salam ambayo inategemewa na Rwanda yenyewe,Congo,Zambia,Malawi,Burundi na Zimbabwe,narudia tena Tanzania tungekuwa na Rais Paul Kagame kwa huu utajiri tuliojaariwa na Mwenyezi Mungu,nafikiri tungekuwa tunashindana na South Africa au tumewapita.

Rwanda imefanya mabadiliko ya ajabu na utalii umekuwa kiini cha mabadiliko hayo,Rwanda ikijengwa upya juu ya msingi imara wa kufanya kazi na mafanikio,na kuwezeshwa na dhamira ya kufanikiwa,Rwanda sasa inaongoza katika elimu na wajibu wa mazingira,Mbuga za wanyama zimeundwa ili jamii ziweze kufaidika na uhifadhi na mipango ya kupambana na ujangili imelinda idadi ya masokwe wa kipekee nchini sambamba na kuanzishwa kwa msitu mkubwa zaidi wa mlima unaolindwa Afrika,ipo sherehe kubwa ya kuwapa Sokwe majina,hii ni namna moja ya kivutio cha watalii,Rwanda sasa inakaribisha watalii milioni kwa mwaka na uchumi wake wa utalii unakua,kama utafiti wetu unavyoonyesha,ni hadithi ya kutia moyo ya kupona na mabadiliko,hivi ndivyo utalii unavyoifaidisha Rwanda na kuongeza uchumi wake,kuitoa nchi kwenye umasikini.

Sera nzuri ya kiuchumi ya Rwanda ndio imefanya nchi nyingi za magharibi zimpende Rais Paul Kagame,unajua mzungu anastaajabu na kukupongeza pale unapofanya jambo ambalo yeye alidhani hauwezi kufanya,japo mzungu atakuwa na plan b ya kukufanya ushindwe,Rais Kagame ameruhusu uchumi uwe huria kwa sheria za Rwanda na kuondoa vikwazo kadha wa kadha kwa wafanyabiashara lakini wanalipa kodi inavotakiwa,Rais Kagame amegeuza kilimo cha kizamani kuwa kilimo chenye tija kwa sasa kwa kutumia ujuzi na elimu yaani knowledge based ecomony ambapo wakulima wanaboresha masoko ya bidhaa za kilimo,kuongeza uthamani kwenye bidhaa zao na hata kununua malighafi na kutengeneza bidhaa zilizoongezwa uthamani kwa nembo ya Rwanda,Rwanda ya Paul Kagame inatumia uzuri madini yake na Rasilimali yake ndogo waliyobarikiwa na Mungu,ambapo kwa kutumia madini na Rasilimali hiyohiyo Rwanda imeweza kuwekeza kwenye viwanda vikubwa kama kiwanda cha magari ya VW na hata kujenga satelite yake,kwa namna hiyo Rwanda inashikilia njia kuu za uchumi kwa kuhakikisha kwamba wafanyabiashara na makampuni yote yana connection na serikalini,Utegemezi wa Rwanda kwa nchi za magharibi upo katika utulivu wakati wao wakitumia maliasili zao kidogo walizobarikiwa na Mungu kuijenga Rwanda ili ifanane na Ulaya.

Afya nchini Rwanda ni bure na kwa wote,matarajio ya kuishi kwa Rwanda ni makubwa,vifo vingi ni kuanzia miaka 69 na kuendelea,ukosefu wa ajira umepungua,wahenga wanasema ukitaka kuona nyumba ina amani,basi usiku utasikia vitanda vinalia,Rwanda kwa sasa ina amani kwani vizazi vinaongezeka,jana nimesikia Rwanda wamebadili muda wa kuanza na kumaliza masomo na saa za kazi,kuanzia Januari 01 2023,shule zote zitaanza masomo saa 2:30 asubuhi na kumaliza saa 11 jioni,saa za kazi ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni.hii kuwaongezea muda wa kulala watoto kwani wanaamshwa alfajiri sana na wanasinzia shuleni,na pia ni kuwawezesha wazazi waweze kuwaona watoto wao na kunywa nao chai kabla ya kwenda shule/kazini,naam Rwanda inathamini watu wake,na uzao wake, huku kwetu saa kumi na moja asubuhi utaona viwanafunzi vya Chekechea vinazunguka na bus la shule,nusu yao wakiwa wamelala kwenye seat,malezi yamekuwa ili mradi tu.

-Mkinipa Bandari ya Dar es Salaam nitailisha Afrika.

Utani wa kweli niliosikia ukisemwa na watu waliodai umetoka kwa Rais Mkweli,Paulo Kagame, Nchi yetu ya Tanzania kama ikitumia vyema bandari yetu ya Dar es Salaam ina uwezekano wa kuzalisha asilimia 45 hadi 50 ya bajeti ya Taifa la Tanzania,kwa hivi sasa hatuitumii vizuri ila kuna mtu mmoja mmoja anaitumia vizuri kiasi cha kuwa tajiri na kushangaa kwa nini Tanzania ni nchi masikini!? Rwanda ametenga mita za mraba 20,000 za bandari kavu,hizi mita za mraba zimekuwa ufuguo wa Rwanda kuingia katika biashara ya Bandari, Dubai, Bandari tatu ziko pamoja zinasafirisha kontena million 22 kwa mwaka,ilihali sisi hapa Tanzania tumezungukwa na nchi nane,na Bandari iko peke yake ya Dae es Salaam,sijataja Tanga,Kigoma na Mtwara lakini tunasafirisha kontena 700,000 tu kwa mwaka,haiingii akilini zaidi kama Rwanda na bandari yao kavu watakuwa wanasafirisha kontena millioni 10 na kuweza kuzalisha asilimia 45 hadi 50 ya bajeti ya taifa lao,itakuwaje kama tukiwapa bandari yetu ya Dar es Salaam!?

-Matumizi na ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam ni mdogo.

Hivi leo hata Somalia wanapeleka kondoo, matikiti maji, vitunguu, nyanya,mchicha, viazi na kila chakula unachokiwaza kikiuzwa Dubai kutokea Somalia,ilihali sisi huu ni msamiati,ukiuliza inakuwaje sisi hatuwezi hili,unapewa jibu la aina yake.“Shida si Watanzania,bali mifumo iliyowekwa na viongozi wenu,kinachotakiwa ni kuwawezesha Watanzania,kuwajengea maghala ya kuhifadhia bidhaa za kilimo karibu na Bandari,kuwaeleza viwango na mbinu bora za kilimo.Je bado bandari yetu ya Dar es Salaam mteja akiwa na kontena lake,hatalazimika kusubiri ‘winch’ ipangue makontena matano kufikia kontena lake la chini au tutakwenda kwenye teknolojia Kontena zitakuwa zinapangwa kwenye chanja (shelves) ambazo ukibonyeza kifungo (button) na kuweka namba ya kontena husika,hata kama litakuwa katikati ya kontena 30,000 litajichomoa na kutoka nje.

-Air Rwanda,The dream of Afrika.

Rais Magufuli alifanya kama Rais Kagame alivyofanya,alinunua ndege kama "National flier" kuitangaza Tanzania kiutalii,utapopanda Air Tanzania,the wings of Kilimanjaro,hautatua tena Nairobi halafu uende Maasai Mara kuona Mlima Kilimanjaro,bali Utatua moja kwa moja Mkoani Kilimanjaro,nchini Tanzania,Tukifikia hapo tayari Rwanda walikuwa na miaka 13 katika hii biashara ya anga,na licha ya kuwa Rwandair imekua haijiendeshi kwa faida lakini Rais Paul Kagame amekua akisema kua uwepo wa wa shirika hilo lengo kubwa ni kuitangaza nchi yao kimataifa katika utalii na kwa kweli wamefanikiwa,kwa sasa wanajenga airport mpya ya kisasa kabisa,wanarusha ndege zao katika nchi nyingi za Africa magharibi na Africa mashariki na baada ya kupokea hizi Airbus mbili wanaanza kuruka hadi Asia,Europe na Marekani,aada ya miaka michache watakua kama Bole Int'l airport kule Adis au Oliver Tambo ya SA,nimpongeze pia kwa kulinunua lindege likubwa na la kisasa la maonesho Mwaka 2016.ni ndege ya kisasa hasa,Ndege hiyo ilikuwa na thaman ya Bilioni 450 Tsh au USD mil 200.wanasema kwa Afrika ni ndege ya kwanza kwa Ubora,Rwanda ikaingia kwenye ushindani na mashirika makubwa kabisa kama Emirates, British Airways,KLM.Hongera Rais Paul Kagame.

Nimalizie na jiji la kigali,katika mitaa ya jiji la kigali hakuna uchafu,hakuna mifuko meusi ya plastic,hakuna machokoraa,kila mtoto ana Mama na Baba yake,na yatima wasio na ndugu wanalelewa sehemu maalum na wanahudumiwa,hakuna vijizi,vipanya road wala vibaka,waliokuwa na roho ya wizi walikusanywa na kupelekwa "rehabilitation center" kisiwani katikati ya ziwa kivu,hakuna nyumba ya matope wala nyumba ya mabati "slams" Serikali ya Rwanda imepiga marufuku nyumba hizo,Rwanda ni sehemu salama ya kutembelea,hii ndio Kigali ya Rais Paul Kagame,A President with a big brain,In Rwanda they always advocate
We are a smallest Country with biggest brain than any East and Central Africa country,Rwanda ni nchi ndogo yenye watu million 15 tu wenye akili nyingi na kuibadilisha Rwanda kuwa Ulaya.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Huyo DIKTETA mchukue akatawale familia yako. Hatutaki MADIKTETA Tanzania na ndiyo maana hata Magufuli amekufa.

Unachoita maendeleo ni upuuzi mtupu wakati wananchi hawana uhuru wa kujieleza.
 
Mkuu

Kuna ukweli fulani kwenye hicho ulichoandika!

Mimi nitalia na DOLA (the state)siku zote!

Waliruhusuje chama tawala kikaanza kupambana wapinzani wake badala ya kupambana na maendelao ya UZALISHAJI na technolojia!!?

NGUVU iliyotumia ccm kupambana na vyama vya UPINZANI ni KUBWA Sana KULIKO iliyowekeza kupambania maendeleo!

Leo Umeme,maji,viwanda,elimu na vinginevyo BADO kizungumkuti WAKATI wamekaa madarakani muda mrefu!!

Kuna tatizo KUBWA Sana la kidola linalotusumbua KULIKO hata maendeleo yenyewe!!!

DOLA ISINGEWAACHIA WANASIASA HATMA YA MAENDELEO YA NCHI INGESHIKA SEKTA ZOTE NA WANASIASA WAKABAKI KUWA WATEKELEZAJI TU WA SERA HIZI KULIKO KUWAACHIA WAO WAWE WATUNGA SERA NA WASIMAMIZI WA SERA HUSIKA!!!!

TATIZO DOLA NDIO IMEFELI KUWASIMAMIA WANASIASA KWA MGONGO WA KATIBA WAKATI KATIBA NI KARATASI TU AMBAYO IPO CHINI YA UWEZO WETU KUIREKEBISHA NA KUTEKELEZA KWA MBINYO WAKIUTENDAJI!!!

TUMECHELEWA SANA SANA SANA KWA WANASIASA KUWAACHIA HATMA YA NCHI YETU!
 
Paul Kagame ni mmoja wa Marais bora kutoka Afrika "one of the best President" na matokeo yanaonekana, ukifika pale Kigali heights unaweza usiamini macho yako na kwa namna fulani unaweza kudhani uko Ulaya,miundombinu bora na usafi, hivi vitakufanya kuwa confused kama uko first world country
Kuna kitu kimoja mnapaswa kuelewa. Pamoja na kwamba Kagame yuko very strict, huwezi kulinganisha Rwanda na Tanzania. Udogo wa Rwanda unafanya iwe rahisi sana kuiendeleza na kuifanya iwe hiyo world class unayoisema.

Magufuli, pamoja na ubaya wake, alitaka kuifanya Dar es Salaam iwe kama ulaya, lakini asingeweza kuifanya Tanzania yote iwe kama ulaya.

Ndio maana hata Singapore, kwa infrastructure na usafi na uzuri hata ulaya hawaifikii, kwa sababu ni ka nchi kadogo sana, imeendelea kwa kutumia bandari tu. Hata Norway ni hiyo hivyo. Sasa utamlaumuje mtu mwenye eka 20 kuwa shamba lake sio safi kama yule mwenye eka moja?

Nenda South Africa, pamoja na uchumi wao mkubwa, ukitoka nje ya jiji kilometa 50 tu utaona maisha ya rural areas Tanzania tunawaacha kwa mbali sana.

Hata China, wanapendeza mijini tu. Kuna sehemu za vijijini China wako hoi sana.

Kwa hiyo usimsifie sana Kagame kuwa ameifanya Rwanda kuwa nchi ya kuigwa, wakati ka-nchi kadogo. Ukitaka kumsifia Kagame basi mlinganishe na Zanzibar, sio Tanzania bara
 
Mkuu

Kuna ukweli fulani kwenye hicho ulichoandika!

Mimi nitalia na DOLA (the state)siku zote!

Waliruhusuje chama tawala kikaanza kupambana wapinzani wake badala ya kupambana na maendelao ya UZALISHAJI na technolojia!!?

NGUVU iliyotumia ccm kupambana na vyama vya UPINZANI ni KUBWA Sana KULIKO iliyowekeza kupambania maendeleo!

Leo Umeme,maji,viwanda,elimu na vinginevyo BADO kizungumkuti WAKATI wamekaa madarakani muda mrefu!!

Kuna tatizo KUBWA Sana la kidola linalotusumbua KULIKO hata maendeleo yenyewe!!!

DOLA ISINGEWAACHIA WANASIASA HATMA YA MAENDELEO YA NCHI INGESHIKA SEKTA ZOTE NA WANASIASA WAKABAKI KUWA WATEKELEZAJI TU WA SERA HIZI KULIKO KUWAACHIA WAO WAWE WATUNGA SERA NA WASIMAMIZI WA SERA HUSIKA!!!!

TATIZO DOLA NDIO IMEFELI KUWASIMAMIA WANASIASA KWA MGONGO WA KATIBA WAKATI KATIBA NI KARATASI TU AMBAYO IPO CHINI YA UWEZO WETU KUIREKEBISHA NA KUTEKELEZA KWA MBINYO WAKIUTENDAJI!!!

TUMECHELEWA SANA SANA SANA KWA WANASIASA KUWAACHIA HATMA YA NCHI YETU!
Kwa bahati mbaya sana dola ndio ccm na ccm ndio dola.

Hakuna maendeleo hapa mpaka Yesu anarudi
 
Kuna kitu kimoja mnapaswa kuelewa. Pamoja na kwamba Kagame yuko very strict, huwezi kulinganisha Rwanda na Tanzania. Udogo wa Rwanda unafanya iwe rahisi sana kuiendeleza na kuifanya iwe hiyo world class unayoisema.

Magufuli, pamoja na ubaya wake, alitaka kuifanya Dar es Salaam iwe kama ulaya, lakini asingeweza kuifanya Tanzania yote iwe kama ulaya.

Ndio maana hata Singapore, kwa infrastructure na usafi na uzuri hata ulaya hawaifikii, kwa sababu ni ka nchi kadogo sana, imeendelea kwa kutumia bandari tu. Hata Norway ni hiyo hivyo. Sasa utamlaumuje mtu mwenye eka 20 kuwa shamba lake sio safi kama yule mwenye eka moja?

Nenda South Africa, pamoja na uchumi wao mkubwa, ukitoka nje ya jiji kilometa 50 tu utaona maisha ya rural areas Tanzania tunawaacha kwa mbali sana.

Hata China, wanapendeza mijini tu. Kuna sehemu za vijijini China wako hoi sana.

Kwa hiyo usimsifie sana Kagame kuwa ameifanya Rwanda kuwa nchi ya kuigwa, wakati ka-nchi kadogo. Ukitaka kumsifia Kagame basi mlinganishe na Zanzibar, sio Tanzania bara
Mbona hulinganishi wingi wa raslimali? Kwa kifupi ni kwamba ukiweza kutumia kidogo ulichonacho basi kikubwa utakitumia vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom