Kusudio la kuwapeleka kwa Pilato hawa niliowataja!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mimi na Asprin, Kaizer,Jopo la wanasheria nguli wa JF wakiongozwa na Dark City tunakusudia kuwapeleka mahakamani hawa watu kwa kosa la kutuchafulia majina yetu na kutuita mabazazi hii ni kutotundea haki hapa katika majukwaa ya JF na kinatufanya tuonekani watu tofauti na wengine!1Kitukinachotufanya tukoswe hakizetu!!nakutusababisha tunyimwe flusa
na wana JF!!.Sasa mwenye pingamizi dhidi ya haya malalamiko niliyo yatoa tafadhali anaombwa atoe pingamizi lake ndani ya masaa 24 yajayo awe ameisha wasilisha pingamizi lake!,vinginevyo hawatapata flusa yakuingia JF Party hivyo na kuwafanya JF party kuisikia kwenye bomba.
Wwatu hao na wataja...!
Hao nilio wataja inabidi wawasilishe maelezo kwa mwana sheria wa JF kwanini wasishitakiwe au kufukuzwa uanachama au yote mawili au kukosa flusa ya kuingia JF Party kwa kosa lakutuita sisi mabazazi wa JF??!!
Nawasilisha mimi mlalamikaji na jopo zima la wanasheria wa JF.

CC,

NB:
Kamakuna mtu mwingine aliathirika kwanjia moja au nyingine na hawa watu tafadhali peleka kwa mwanasheria wetu wa JF Mh Dark City.
 
Last edited by a moderator:
Hapa Mentor look vere maana ushahidi wa udukuzi wako tunao na tumeuwasilisha kama kielelezo
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! 2014 KI LEGAL ZAIDI!!!!!!!!
lara 1 si unaona hii ni our constitutional right kwenda kwa pilato......kuchafuliwa majina sio kitu kidogo.."it is not a light and loughing matter"
 
Last edited by a moderator:
Kijana wangu Judgement hebu come again sijakupata uzuuri mpwa

Iko hivi Uncle Kaizer , kwamba hao anaowalalamikia KakaKiiza kuwapeleka upilatoni judgement ikiwa watapigwa faini mi niko ready kuwalipia .
Uncle katika biashara zetu za Mbao muda huu ndo msimu umechanganya, mifeza nyomi ! Sioni sababu kwa nini nisifanye charity !
 
orait Sir.....kwa hiyo umekubali wako guilty as charged
 
Classmate Smile mwaaaaaaaaaa thank you vere.

Shem Judgement na mkiva asanteni.

Mimi ninakuwa wa kwanza ku-appeal.

Sheria ya MMU Section 2 (b) para (i) inasema wazi kuwa, 'kama unatembea kama ng'ombe, una mkia mrefu kama ng'ombe, unalia kama ng'ombe....wewe ni ng'ombe."

Halafu, Vin Diesel ndiye aliyeanza ku-imply kuwa mimi ni bazazi kwa kunimention kule kwenye li-interview la mke wetu Heaven on Earth.
Kaizer anafuatia kwa ubazazi maana ananinyima kunioza uncle wake mwallu, nimechoka kuwa bachelor..kwa hili kama ni ubazazi ninaoufanya (kwa kutokujua kwangu, lol) Kaizer ndiye msababishi.
KakaKiiza hata usiseme wewe ni bazazi namba 0 kabla ya 1. Bisha nilete ushahidi.

Wenu,
PM Moderator, Mentor.
 
hahaha Mentor umesema wewe ni PM moderator sio?
 
Last edited by a moderator:
Mimi na @sprin, Kaizer,Jopo la wanasheria nguli wa JF wakiongozwa na Dark City tunakusudia kuwapeleka mahakamani hawa watu kwa kosa la kutuchafulia majina yetu na kutuita mabazazi hii ni kutotundea haki hapa katika majukwaa ya JF na kinatufanya tuonekani watu tofauti na wengine!1Kitukinachotufanya tukoswe hakizetu!!nakutusababisha tunyimwe flusa
na wana JF!!.Sasa mwenye pingamizi dhidi ya haya malalamiko niliyo yatoa tafadhali anaombwa atoe pingamizi lake ndani ya masaa 24 yajayo awe ameisha wasilisha pingamizi lake!,vinginevyo hawatapata flusa yakuingia JF Party hivyo na kuwafanya JF party kuisikia kwenye bomba.
Wwatu hao na wataja...!
Hao nilio wataja inabidi wawasilishe maelezo kwa mwana sheria wa JF kwanini wasishitakiwe au kufukuzwa uanachama au yote mawili au kukosa flusa ya kuingia JF Party kwa kosa lakutuita sisi mabazazi wa JF??!!
Nawasilisha mimi mlalamikaji na jopo zima la wanasheria wa JF.

CC,

NB:
Kamakuna mtu mwingine aliathirika kwanjia moja au nyingine na hawa watu tafadhali peleka kwa mwanasheria wetu wa JF Mh Dark City.

Hili suala linajadiliwa na kamati kuu....na kulingana na katiba yetu mahakama haina mamlaka ya kuingilia...
Nashauri upeleke lalamiko lako kwa mwenyekiti japo nahisi tabia zenu zafanana na hatachukua hatua yoyote
 
Aisee kweli bana....mimi.nikiwa.mlalamikaji.namba 3....lol ila mkuu KakaKiiza huyu Vin Diesel na yeye amelalamika kuchafuliwa na kunyimwa fursa hebu.muweke apo juu
Asprin aione tafadhali

Ila on the other hand tumekuwa.macelebrity eti? Tutafunika.mbaya kwen party hakyamama

wote waliotajwa hapo wanastahili japo nadhani kuna haja ya kuboresha list.....mapendekezo tafadhali
 
Classmate Smile mwaaaaaaaaaa thank you vere.

Shem Judgement na mkiva asanteni.

Mimi ninakuwa wa kwanza ku-appeal.

Sheria ya MMU Section 2 (b) para (i) inasema wazi kuwa, 'kama unatembea kama ng'ombe, una mkia mrefu kama ng'ombe, unalia kama ng'ombe....wewe ni ng'ombe."

Halafu, Vin Diesel ndiye aliyeanza ku-imply kuwa mimi ni bazazi kwa kunimention kule kwenye li-interview la mke wetu Heaven on Earth.
Kaizer anafuatia kwa ubazazi maana ananinyima kunioza uncle wake mwallu, nimechoka kuwa bachelor..kwa hili kama ni ubazazi ninaoufanya (kwa kutokujua kwangu, lol) Kaizer ndiye msababishi.
KakaKiiza hata usiseme wewe ni bazazi namba 0 kabla ya 1. Bisha nilete ushahidi.

Wenu,
PM Moderator, Mentor.

Kwenye ndoa yangu na Heaven on Earth sina ushirika na mtu....
PM mod nilimuomba siku nyingi sana Invisible ila hajanijibu mpaka sasa......kuna dalili za nepotism here na wewe ukatumia nafasi hiyo kuwa namba moja kwenye bazazism...
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! 2014 KI LEGAL ZAIDI!!!!!!!!
Umeona!ehe

Kwani uongo?
Nawewe utaongezwa kwenye watuhumiwa!vinginevyo rekebisha kauri yako!

Naungana na mh hapo juu nitasaidia kuwalipia fain namimi pia imenigusa.
Asante mkuu

Mkuu tuongeze nini kimepungua katika swala la kisheria??

KakaKiiza nilikuwa sijui maana ya hilo neno
nimeliona hapa ............ Topic: Bazazi
mmmmmh; lazima utafute msaada wa kisheria.
Maana yake nini funguka plz

Hili suala linajadiliwa na kamati kuu....na kulingana na katiba yetu mahakama haina mamlaka ya kuingilia...
Nashauri upeleke lalamiko lako kwa mwenyekiti japo nahisi tabia zenu zafanana na hatachukua hatua yoyote
Nyie ndo mnasema kamati kuu mimi nasema mahaka ndo chombo cha mwisho!

Kwenye ndoa yangu na Heaven on Earth sina ushirika na mtu....
PM mod nilimuomba siku nyingi sana Invisible ila hajanijibu mpaka sasa......kuna dalili za nepotism here na wewe ukatumia nafasi hiyo kuwa namba moja kwenye bazazism...
Sharing mean caring usi-panic brother!:A S wink::A S wink::A S wink:
 
Back
Top Bottom