Kusudio la kuwapeleka kwa Pilato hawa niliowataja!!

Kwenye ndoa yangu na Heaven on Earth sina ushirika na mtu....
PM mod nilimuomba siku nyingi sana Invisible ila hajanijibu mpaka sasa......kuna dalili za nepotism here na wewe ukatumia nafasi hiyo kuwa namba moja kwenye bazazism...

Apo nimepapenda maana umetumia nafsi ya kwanza umoja (first person singular)

hii hali ni hatari sana
 
Mimi na Asprin, Kaizer,Jopo la wanasheria nguli wa JF wakiongozwa na Dark City tunakusudia kuwapeleka mahakamani hawa watu kwa kosa la kutuchafulia majina yetu na kutuita mabazazi hii ni kutotundea haki hapa katika majukwaa ya JF na kinatufanya tuonekani watu tofauti na wengine!1Kitukinachotufanya tukoswe hakizetu!!nakutusababisha tunyimwe flusa
na wana JF!!.Sasa mwenye pingamizi dhidi ya haya malalamiko niliyo yatoa tafadhali anaombwa atoe pingamizi lake ndani ya masaa 24 yajayo awe ameisha wasilisha pingamizi lake!,vinginevyo hawatapata flusa yakuingia JF Party hivyo na kuwafanya JF party kuisikia kwenye bomba.
Wwatu hao na wataja...!
Hao nilio wataja inabidi wawasilishe maelezo kwa mwana sheria wa JF kwanini wasishitakiwe au kufukuzwa uanachama au yote mawili au kukosa flusa ya kuingia JF Party kwa kosa lakutuita sisi mabazazi wa JF??!!
Nawasilisha mimi mlalamikaji na jopo zima la wanasheria wa JF.

CC,

NB:
Kamakuna mtu mwingine aliathirika kwanjia moja au nyingine na hawa watu tafadhali peleka kwa mwanasheria wetu wa JF Mh Dark City.
Naunga mkono hoja!!!

Kwani uongo?
Yesu Kristo wa Nazareti!!!!

wote waliotajwa hapo wanastahili japo nadhani kuna haja ya kuboresha list.....mapendekezo tafadhali
OMG!!!!
 
Aisee kweli bana....mimi.nikiwa.mlalamikaji.namba 3....lol ila mkuu KakaKiiza huyu Vin Diesel na yeye amelalamika kuchafuliwa na kunyimwa fursa hebu.muweke apo juu
Asprin aione tafadhali

Ila on the other hand tumekuwa.macelebrity eti? Tutafunika.mbaya kwen party hakyamama
Hommie, hao ndio wenye kukaanga mbuyu.....wanatuachia meno tutafune.

Kwenye ndoa yangu na Heaven on Earth sina ushirika na mtu....
PM mod nilimuomba siku nyingi sana Invisible ila hajanijibu mpaka sasa......kuna dalili za nepotism here na wewe ukatumia nafasi hiyo kuwa namba moja kwenye bazazism...
Mentor, mke wetu ametekwa..... Hakyamama walahi amekwishapotea....

CC Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Kwa mshtuko mkubwa nimesoma haya mashataka, nikahisi kizungu zungu duble duble maana niko ndani ya BURDANI tayari karibia CHALINZE, sasaaa naomba kujuzwa, hadi sasa kesi imefika wapi ili nishuke nigeuza.
KakaKiiza unaninyima uhondo sababu ya ubazazi wako mwenyewe? Na hili limethibitika kuwa wewe ni bazazi kweli, maana unajua tukiwepo tutathibitisha ubazazi wako na wenzako live kwenye PARTY. CC Asprin na Kaizer



Mbona yanetukutaaa, watu wana roho mbayaa, yaani wasitushtaki siku zooote, waje tushtaki, few hours kabla ya kuingia kwenye kitu part?
Judgement ahsante sana kwa kuona haja ya kutulipia fine, if we will found guilt and charged for.

Babu Dark City nina huhaka 100 percent hauko kwenye kundi hili.
 
Last edited by a moderator:
Panafaa kwa wanaowahusu siye tujiko:mod::mod: kivyetuvyetu
nisijenika.............. nikaitwa Bazazi jike mie
acha niji :A S 27: kivyangukivyangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom