Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 19,263
- 30,366
Tafute hela. Kizazi chako kisiteseke
Umemaliza mkuu, angekuwa na pesa haya malalamiko usinge yasikia
Tafute hela. Kizazi chako kisiteseke
Tuoneshe wewe matumizi yako mazuri ya pesa ni yapi?. Haya maisha tusipangiane cha kufanya, shule kama huiwezi kulipa ada tafuta ya size yako acha kujipa umuhimu ili uonekane unahoja ya msingi. Maamuzi yako sio waraka kwa watu wengine wayafuate.Kwenu mnaosomesha watoto shule za gharama ilihali serikali inatoa elimu bure , mzazi unapeleka mtoto kujiunga kidato cha kwanza shule binafsi utazani labda wanafundishwa masomo tofauti na alie shule za umma hayo ni matumizi mabovu ya pesa
Wazazi wengi wanapenda show off hasa wazazi wa kike kuona watoto wao wanasoma shule za pesa mingi.
Mwanafunzi wa shule binafsi na umma ni walewale tu kwasababu wanafundishwa maada sawa kama ni physics wote watasoma physics masomo mengine yanayofundishwa shule binafsi nikujaza madaftari bure tu sijui commerce, mara kifaransa ili iweje itamsaidia nini??
Shule binafsi zinatoa malezi ya kimamamama tu hustle zipo shule za umma mtoto anajifunza maisha kuinteract na watu wengi kujenga bond na n.k, ngoja niishie hapo tu
Ukweli lazima usemwe na nitaendelea kusema maana wabongo tumekalili sana aya maada anazofundishwa private ni tofauti na umma au vp?? mtihani wa mwisho je au nyie izo hera hamna kazi nazoTuoneshe wewe matumizi yako mazuri ya pesa ni yapi?. Haya maisha tusipangiane cha kufanya, shule kama huiwezi kulipa ada tafuta ya size yako acha kujipa umuhimu ili uonekane unahoja ya msingi. Maamuzi yako sio waraka kwa watu wengine wayafuate.
Wanamaliza mbona, shule binafsi ni biashara za watu kiongozi unajidanganya et mtoto wangu ana akili kumbe zakupewa majibu tu, mtoto aliesoma umma nikipanga mzee kichwa ni kichwaa yaani kabasua kweli ni kweli yaani.Aah wapi... kwa nini asome kwa mateso na hela ipo? Vipi siku hizi shule za serikali wanamaliza syllabus au ndio mpaka uende tuition?
Umuhimu gani mkuu?? Elimu ataipata shule za umma, shule za umma ni zaidi ya jeshi mtoto anajitafuta ad anafanikiwa sio kupewa majibu apate div 1 ya hamna kitu . Wazazi msidanganye private nikumuua mtoto kiakili hawez kufikilia kujitafutia yeye ni kumeza tu yaani sisi tumepiga pindi kwelikweli na tumetoboa nataka mwnng anifuate mm njia zanguKwa hiyo mindset Una safari ndefu Sana , haujui na kutambua umuhimu wa kesho ya watoto wako.
Huenda hayo ndo yamechangia pakubwa kwenye mafanikio yako usidharau ulikopitia mkuushule ya maingi niliosoma ukiingia chooni unakuta kimba kwenye vitofali vya kukanyagia shule niliosoma advance choo kilikua kinaitwa uvumilivu toilet ukiingia hata kukojoa inabid ukitoka toilet uvunge kwenye upepo kama dakika kadhaa bila hivyo utaandamwa harufu ya mavi ya watu kama buku hivi hapo hatujaongelea ugaigai wa makocha
niliapa kijana wangu hatakuja kupitia huo ukuda kama nitakua hai na mwenye afya hata nisipokua tajiri
Umuhimu gani mkuu?? Elimu ataipata shule za umma, shule za umma ni zaidi ya jeshi mtoto anajitafuta ad anafanikiwa sio kupewa majibu apate div 1 ya hamna kitu . Wazazi msidanganye private nikumuua mtoto kiakili hawez kufikilia kujitafutia yeye ni kumeza tu yaani sisi tumepiga pindi kwelikweli na tumetoboa nataka mwnng anifuate mm njia zangu
Kwani serikali haioni ila inaacha ili wajifunze pia jeshi kuna viti ila wanakaa chini muda mwingi kwanini, hayo ni mafunzo ya maishaNa ni nyingi sio moja, nyingi sana wanakaa chini mzee.
Wazazi wa dar wako bize na kusaka noti na sio malezi.
Umama huo sisi mbona tumesoma hadi chuo kikuu na tumesoma hivyohivyo, watoto wenu wakianza kuwa mashoga ndo muanze kuilaumu serikali.Honestly,niwe na mtoto anasoma hizo shule usingizi hautakaa uje wala chakula hakitapita.
Hao watoto hawana usimamizi.Kuna mwalimu nilimuuliza kwanini analeta mwanae private school badala amuandikishe anakofundisha ili awe nae karibu akanambia darasa lake lina watoto 460 hawezi peleka mwanae kwenye shule ya hivyo.
Kimbia darasani lecturer anagawa marks za bure.Kwani serikali haioni ila inaacha ili wajifunze pia jeshi kuna viti ila wanakaa chini muda mwingi kwanini, hayo ni mafunzo ya maisha
sina mafanikio yeyote mkuu ni ile tu hali kuna maisha unaishi unasema nitapigana kufakupona vijana wangu wasipitie haya mapitoHuenda hayo ndo yamechangia pakubwa kwenye mafanikio yako usidharau ulikopitia mkuu